Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,882
- Thread starter
- #21
hadithi za kusadikika hzomara nyingi hao wanakuwa sio watoto wa kawaida kama unahitaji mtoto ni vizuri ukamwomba mungu na sio kwenda kwa waganga...rejea wimbo wa bahati bukuku-maamuzi(zinduna)