Yeyoo!

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,690
The most greatest thinker in the building! Plz nipokeeni"
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,457
8,295
Ehe kazi ipo wewe siye niliyekukaribisha simda mrefu?au pacha wako?karibu mjukuu ila hiyo lugha mjukuu utanilaumu bure kwani nitakuwa nakusumbua sana ili unitafuslie maana nasikia swaga,mara yeyo sijajua maneno hayo yanawakilisha mkoa gani wa nchi yetu!ila karibu sana huku ndani ya jf.
 
afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,150
9,097
Ehe kazi ipo wewe siye niliyekukaribisha simda mrefu?au pacha wako?karibu mjukuu ila hiyo lugha mjukuu utanilaumu bure kwani nitakuwa nakusumbua sana ili unitafuslie maana nasikia swaga,mara yeyo sijajua maneno hayo yanawakilisha mkoa gani wa nchi yetu!ila karibu sana huku ndani ya jf.

mmhhhh KakaKiiza kina kitu kinajipika hapa ndani muheshimiwa...
mmmmhhhhh sijui nianze kazi ya u detective mpaka nikigundue .....
we umesoma thread za hawa wawili kwenye Mahusiano, mapenzi na urafiki....???
yaani ni copy and paste halafu wakabadilisha tu maneno......
 
Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,690
Ehe kazi ipo wewe siye niliyekukaribisha simda mrefu?au pacha wako?karibu mjukuu ila hiyo lugha mjukuu utanilaumu bure kwani nitakuwa nakusumbua sana ili unitafuslie maana nasikia swaga,mara yeyo sijajua maneno hayo yanawakilisha mkoa gani wa nchi yetu!ila karibu sana huku ndani ya jf.

lugha hii haiwakilishi mkoa wowote hapa Bongo, so don't worry about dat.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom