Yesu sio Mungu

Mimi kwa tulivyofundishwa toka Utotoni ni kuwa Mungu ni Mmoja ila Ana Nafsi tatu
Mungu Baba= Ambaye ndio Mungu Mkuu
Mungu Mwana= Ambaye ni Yesu Kristo
Mungu roho Mtakatifu=Ambae hutuombea pasikoweza kutamkwa kama nimekosea Nisahihishwe.
Ulifundishwa ukiwa mtoto sio kosa lako, je Yesu alifundisha hivo?
Ushawah kujiongeza toka ulivokua mkubwa hayo mambo ya utatu chanzo chake nini na wapi?
Awe umebak kukariri TU?
 
Nasema hivi mtu akija na hoja yeye mashiko kuwa Yesu ni mungu nampa laki 1 niliiweka kwenye kibubu kwa zaidi ya miezi mitatu, ntakupa akiba yangu yote.

Uje umekula mambo ya matusi, sijui roho mtakatifu usiyalete hapa leta hoja nzito
YESU MUNGU KWELI NA MTU KWELI🙏
 
Attachments

  • How To Prove Jesus is God Using The Quran And Bible Relevant Articles-Sources- https---www.answe.mp4
    12.4 MB
Mungu anaweza kufanya Kila kitu ila Hana sifa za kibinadamu
Kama nini anachoweza "kufanya kila kitu", halafu unasema "hana sifa za binadamu" maana yake "hawezi kufanya kila kitu". Kwa hiyo, umesema nini sasa, kwamba "anaweza kufanya kila kitu" au kwamba "hawezi kufanya kila kitu?"
 
Ndio maana nikakuambia leta hapa sifa za mungu kulingana na bible inavosema. Na kama hakuna katika bible basi jua Kuwa hicho kitabu hakijakamilika na kwamaana hiyo unatakiwa upuuze hiyo dini. Yaani mungu anye mavi kweli?😂😂
 
Sijaelewa hoja yako.
 
Nasema hivi mtu akija na hoja yeye mashiko kuwa Yesu ni mungu nampa laki 1 niliiweka kwenye kibubu kwa zaidi ya miezi mitatu, ntakupa akiba yangu yote.

Uje umekula mambo ya matusi, sijui roho mtakatifu usiyalete hapa leta hoja nzito

Arianism
Ushakutana na ndugu zako wa Kijini ?

Mishkat al-Masabih 350

Ibn Mas'ud reported God’s messenger as saying, “Do not cleanse yourselves with excrement or bones, for that is the provision of your brethren among the jinn.”
.......
Namaanisha Kaka zako Majini:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…