Kamata Biblia yako takatifu turejee utabiri wa nabii Isaya katika Isaya 9:6
Katika Isaya 9:6, neno la Mungu linasema; "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto wa kiume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, Baba wa Milele, Mfalme wa Amani."
Ukisoma Yohana 1:1 pia utaona kuwa Yesu ni Mungu!! Mstari huu unaosema hivi, "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu."
Tafadhali, naomba nisaidie kuwaambia wawili, watatu kuwa;
YESU ni MUNGU !!!
Barikiwa.