H Hamatan JF-Expert Member Joined Nov 10, 2020 Posts 7,492 Reaction score 17,433 Sunday at 8:02 AM #21 Ujio wa Masiha Kristo, ni sawa na kifo: hakuna ajuaye siku wala saa, bali tumepewa ishara ya mambo yanayotakiwa kutokea kabla ya ujio wake ili waliojaliwa hekima yake wapate kujua.
Ujio wa Masiha Kristo, ni sawa na kifo: hakuna ajuaye siku wala saa, bali tumepewa ishara ya mambo yanayotakiwa kutokea kabla ya ujio wake ili waliojaliwa hekima yake wapate kujua.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,938 Reaction score 110,413 Sunday at 8:15 AM #22 Yoda said: Yeye mwenyewe naye hajui lini atarudi tena?! Click to expand... Imeandikwa... Mathayo 24 36 Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake. 37 Kwa maana kama vile ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.
Yoda said: Yeye mwenyewe naye hajui lini atarudi tena?! Click to expand... Imeandikwa... Mathayo 24 36 Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake. 37 Kwa maana kama vile ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 63,244 Reaction score 106,677 Sunday at 8:23 AM Thread starter #23 Watu8 said: Imeandikwa... Mathayo 24 36 Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake. 37 Kwa maana kama vile ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu. Click to expand... Vipi kuhusu mwaka au miaka ?
Watu8 said: Imeandikwa... Mathayo 24 36 Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake. 37 Kwa maana kama vile ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu. Click to expand... Vipi kuhusu mwaka au miaka ?
Psalm_27 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2026 Posts 1,003 Reaction score 1,878 Sunday at 8:25 AM #24 ephen_ said: Atarudi kabla ya siku 3 kukamilika Click to expand... Unabii wa kitabu gani huu mkuu!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,938 Reaction score 110,413 Sunday at 8:52 AM #25 Yoda said: Vipi kuhusu mwaka au miaka ? Click to expand... Sasa mkuu, saa na siku si vipo ndani ya mwaka, maana hakuna mwaka kabla ya kuwa na saa wala siku... Kilichotajwa na Biblia ni majira na ishara, kwamba mkiona hivi au vile mjue ule mwisho u karibu...
Yoda said: Vipi kuhusu mwaka au miaka ? Click to expand... Sasa mkuu, saa na siku si vipo ndani ya mwaka, maana hakuna mwaka kabla ya kuwa na saa wala siku... Kilichotajwa na Biblia ni majira na ishara, kwamba mkiona hivi au vile mjue ule mwisho u karibu...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 176,522 Reaction score 194,440 Sunday at 9:53 AM #27 Za kuambiwa changanya na za kwako... Cc: Mahondaw
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,106 Reaction score 28,490 Sunday at 1:05 PM #28 Yoda said: Ni miaka 2000 sasa Yesu Kristo anasuburiwa kurudi kama alivyohaidi katika Mathayo 24. Mbona hakuna dalili ya kurudi kwake kabisa kuja kuwachukua watu wake (kanisa) au kufa ? Dunia haina muelekeo na mahesabu kabisa ya Yesu kurudi! Click to expand... Kesho🤔
Yoda said: Ni miaka 2000 sasa Yesu Kristo anasuburiwa kurudi kama alivyohaidi katika Mathayo 24. Mbona hakuna dalili ya kurudi kwake kabisa kuja kuwachukua watu wake (kanisa) au kufa ? Dunia haina muelekeo na mahesabu kabisa ya Yesu kurudi! Click to expand... Kesho🤔