Yes I will be your Valentine Asprin

Huyu mzee haishiwagi nguvu aisee sijui anawapa nini watoto wazuri, Mimi nimepambana nae tangu 2013 huyu gwiji Asprin lakini wapi [emoji41][emoji2]
 
Aisee kumbe kuna member wanamiliki mpaka mademu wa4 kwa wakati mmoja na wote wanajuana...mm nikiwafuata PM wanaishia kupokea salamu tu baada ya hapo umuoni tena..

Kweli uchawi upo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] ni utani tu chief usichukulie serious kila kitu unachokiona mtandaoni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…