GE2025 Yericko Nyerere: Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere, amemshutumu vikali Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akimtaja kuwa chanzo kikuu cha kuvurugika kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa nchini.

Akizungumza leo Agosti 06, 2025 jijini Dar es Salaam, mara baada ya kutangaza rasmi kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Yericko amesema kuwa hali ya maridhiano ilianza kubadilika mara tu Lissu alipopewa nafasi ya kushiriki vikao vya mazungumzo licha ya kutokuwa mjumbe rasmi.

"Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje. Baada ya ombi la waliokuwa uhamishoni kurejea na mikutano ya siasa kufunguliwa, aliporudi tu, Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwalika Lissu kwenye vikao vya maridhiano wakati hakuwa mjumbe. Alikiomba kikao kwa kusema: 'Ninamuomba kwa heshima aliyekuwa mgombea urais ashiriki maridhiano.'"
 
Sasa mbona mashahidi wa siri wanajitokeza hadharani tena? 🤣🤣🤣
 
Tundu ni akili kubwa
 
Sasa maridhiano yana faida gani zaidi ya kujikomba? Sasa si aseme hadharani hayo mambo yaliyofanya Lissu avunje maridhiano.

Tafsiri ya Lugha: Kumbe Lissu alikuwa na nguvu kuliko wajumbe wote waliokuwa kwenye timu ya CHADEMA?

Yericko Nyerere umeenda CHAUMA lakini unataka kuyazungumza ya CHADEMA, ili iweje? Adui yenu ni CCM mnayeshindana naye kwenye uchafuzi au CHADEMA ambayo iko kwenye NO REFORMS NO ELECTION MODE?
 
Anamshambulia mtu aliyepo gerezani sababu hawezi kumjibu .

Si yeye ndio alisema hakuna kuhama chama ukishindwa uchaguzi?

Maridhiano yalikuwa na tija gani kama kina Soka , Mzee Kibao, Dioniz Kipanya, Mdude,Jacob Mlay na wengineo wengi wameuwa.

Miezi 2 sasa huwa kanarepost machapisho ya njaa 55 huku ni mwanachama wa CHADEMA alikuwa anachelewa nini kuondoka?

Haka kajamaa ni katapeli haswa na hata sasa zile kauli za Chahali kuwa ndio kalikuwa kanawashikikisha vijana radical kwa magenge ya watekaji inaonekana ilikuwa ni kweli sasa.
 
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere, amemshutumu vikali Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akimtaja kuwa chanzo kikuu cha kuvurugika kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa nchini.

Akizungumza leo Agosti 06, 2025 jijini Dar es Salaam, mara baada ya kutangaza rasmi kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Yericko amesema kuwa hali ya maridhiano ilianza kubadilika mara tu Lissu alipopewa nafasi ya kushiriki vikao vya mazungumzo licha ya kutokuwa mjumbe rasmi.

"Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje. Baada ya ombi la waliokuwa uhamishoni kurejea na mikutano ya siasa kufunguliwa, aliporudi tu, Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwalika Lissu kwenye vikao vya maridhiano wakati hakuwa mjumbe. Alikiomba kikao kwa kusema: 'Ninamuomba kwa heshima aliyekuwa mgombea urais ashiriki maridhiano.'"
YERICO HANA AKILI YEYE HAKUWA KIONGOZI WA CHADEMA HAYA ALIYAJUAJE
 
How come watu mnaondoka Chadema na kuhamia vyama vingine, na bado hamuishi kulalamika na kulia lia!!

Mimi nadhani ni vizuri mkawaacha viongozi waliochaguliwa kihalali kusimamia maono ya chama na wanachama wao wapenda mabadiliko ya kweli, badala ya hayo maridhiano yenu ya kinafiki.
 
Tatizo la CDM awatakagi kuambiwa ukweli Sasa ukweli ndio uo ukabali au ukatae
 
Sasa maridhiano yana faida gani zaidi ya kujikomba? Sasa si aseme hadharani hayo mambo yaliyofanya Lissu avunje maridhiano.

Tafsiri ya Lugha: Kumbe Lissu alikuwa na nguvu kuliko wajumbe wote waliokuwa kwenye timu ya CHADEMA?

Yericko Nyerere umeenda CHAUMA lakini unataka kuyazungumza ya CHADEMA, ili iweje? Adui yenu ni CCM mnayeshindana naye kwenye uchafuzi au CHADEMA ambayo iko kwenye NO REFORMS NO REFORMS MODE?
maridhiano ya kuendelea kuwadanganya waTanganyika?!

Mungu wa mbinguni atafanya jambo mwaka huu, litakaloushangaza ulimwengu.
 
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere, amemshutumu vikali Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, akimtaja kuwa chanzo kikuu cha kuvurugika kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa nchini.

Akizungumza leo Agosti 06, 2025 jijini Dar es Salaam, mara baada ya kutangaza rasmi kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Yericko amesema kuwa hali ya maridhiano ilianza kubadilika mara tu Lissu alipopewa nafasi ya kushiriki vikao vya mazungumzo licha ya kutokuwa mjumbe rasmi.

"Aliyeua maridhiano ni Tundu Lissu, tutawaambia aliwauaje. Baada ya ombi la waliokuwa uhamishoni kurejea na mikutano ya siasa kufunguliwa, aliporudi tu, Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwalika Lissu kwenye vikao vya maridhiano wakati hakuwa mjumbe. Alikiomba kikao kwa kusema: 'Ninamuomba kwa heshima aliyekuwa mgombea urais ashiriki maridhiano.'"
Yeriko aache kutafuta huruma bora aende zake kweny pilau kimya kimya ili lisu abaki na wana mapinduzi wa kweli!!
 
Back
Top Bottom