Yemeni Houthis yashambulia Tel Aviv

Yemeni Houthis yashambulia Tel Aviv

kwa msio jua, si ukute hata internet kusumbua jana na leo yalikuwa maandalizi ya kupiga wayemen, kumbe net yote hata wale yemen wanayotumia kurushia drone, ipo mikononi mwa mzungu anaweza kuamua chochote wakati wowote.
 
watu kibao huko yemen wameanza kupelekwa hospitali, majeruhi tayari.
 
😂😂😂 Yemen au hudeidah port tena kama kawaida
Usrahell bila shosti zake ndio anakua kama nyanya yaani

Yemeni iliyo maskini kuliko Tanzania ipigane vita bila kusaidiwa na wafadhili wake, wakati mwingine tuje kwenye common sense hata kidogo

Kila mtu ana mfadhili wake, mfadhili mwenye misuli atashinda
 
Yemeni iliyo maskini kuliko Tanzania ipigane vita bila kusaidiwa na wafadhili wake, wakati mwingine tuje kwenye common sense hata kidogo

Kila mtu ana mfadhili wake, mfadhili mwenye misuli atashinda
wanapigana sasa, na wanarusha hadi drones tel aviv
 
Ndege za Israel zajiandaa kushambuliz Yemen,,,
Israeli Air Force publishes images of the fighter jets on their way to strike Yemen.
FB_IMG_1721500360894.jpg
 
Ndege za Israel zajiandaa kushambuliz Yemen,,,
Israeli Air Force publishes images of the fighter jets on their way to strike Yemen.View attachment 3047479
vita ni kitu kibaya sana, huwa zinapiganwa zaidi usiku wakati watu mnataka kulala hivyo usiku mtauona mrefu kweli. hapo asubuhi mtaona mabaki tu ya wayemen. na mchana wanaogopa kupiga wasijeonekana wanapiga sehemu zisizo za kijeshi, kwa raia wakalaumiwa.
 
Yemeni iliyo maskini kuliko Tanzania ipigane vita bila kusaidiwa na wafadhili wake, wakati mwingine tuje kwenye common sense hata kidogo

Kila mtu ana mfadhili wake, mfadhili mwenye misuli atashinda
Mfadhili wakushinda yupi alokimbi Afghanistan au anaehangaika na ghaza mwaka sasa?
 
Katika vita alizopigana Houthi miaka yote na serikali na Saidia /UAE wanasema hawajawahi kuona kipigo kama cha Israel.. mstuko kwa raia wote.. uhaba wa mafuta umeanza raia wanakaza full tank kwenye vituo vya mafuta
 
Wakuu bila ushabiki wala udini Yemen inaenda kuungua mazima hivi karibu hii ni kwa mujibu wa intelijensia yangu toka Katavi
 
Back
Top Bottom