Wanaukumbi.
Msemaji wa Jeshi la Yemen "Houthis":
Tunatangaza eneo la Yafa "Tel Aviv" kama eneo lisilo salama na litakuwa lengo kuu ndani ya anuwai ya silaha zetu.
Shambulio la ndege zisizo na rubani lilitokea karibu na ubalozi mdogo wa Marekani mjini Tel Aviv, Israel, na kusababisha uharibifu mkubwa na majeruhi.
Ndege hiyo isiyo na rubani, inayoaminika kurushwa kutoka Bahari ya Mediterania, iligonga jengo lililo chini ya mita 100 kutoka kwa ubalozi huo.
Shambulio hilo lilisababisha kifo cha mtu mmoja na majeruhi kadhaa.
View: https://x.com/currentreport1/status/1814134362830684458?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
View: https://x.com/hoaxvstruths/status/1814219578098028765?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Vice versa: Vilio, Simanzi na Huzuni zitokanazo na majibu ya kitendo hicho pia viende kwa Russia na Iran.Pongezi za dhati ziende kwa Russia na Iran
Wanatafuta nini kama usa na advice carrier ameamua kuondoka zake huyu myahudi anakitu gan kumshinda babawanachokitafuta watakipata.
Yemen sio occupy territory .my dear friendHuyo jamaa na kasauti kake kamchongo ajiandae kuchimba kaburi Lake. Israel sio na hawana mchezo niwatoa soho. Nitaifa lamasimba
Huyo jamaa na kasauti kake kamchongo ajiandae kuchimba kaburi Lake. Israel sio na hawana mchezo niwatoa soho. Nitaifa lamasimba
Yemeni sio Palestina,nakusisitiza Yemeni sio Palestina.Huyo jamaa na kasauti kake kamchongo ajiandae kuchimba kaburi Lake. Israel sio na hawana mchezo niwatoa soho. Nitaifa lamasimba
Viende kwa Iran na Russia kivipi mkuu?Vice versa: Vilio, Simanzi na Huzuni zitokanazo na majibu ya kitendo hicho pia viende kwa Russia na Iran.
Hehehehe Yemeni sio Gaza.Too bad wahanga wakubwa wa hizo purukushani ni watoto na wanawake,,,ila Yemen wajiandae na wao
Bado hawajajaa kwenye target za mayahudiOoh iran ana tafutwa ooh waarabu wana tafutwa..ime geuka kumbe israel ndo ana tafutwa aingie full na shoga zake..kila siku ana chapwa ila apeleki full mkoko ana ogopa nini
Sio kwa sasa watu wanatafuta sababu ya myaudi feki kuchapwa. Nakuambia russia, iran na china wapo nyuma. Maana myaudi fake alimsaidia ukraine, sasa watu wanamtafutia sababu tu wamchape. Kwanini yupo kimya maana kashitukia mchezo yeye na usa wake.Bado hawajajaa kwenye target za mayahudi
Inawezekana kunaandaliwa pigo ambalo nchi nzima itabaki ikilaani na kulia lia
Myahudi hajawahi kuwa mjinga linapokuja suala la vita!
Walokole bana kwa hiyo kwa dunia ya sasa nani ni mjinga .kama una mahaba na myahudi si jiolee hata dada yako ili ufaidi ukoo wa kiyahudi ili tukuite Black jewish .narudia tena sifa anazopewa huyo jamaa ni za uongo na za kutoka kwa watu wajinga kama ninyiBado hawajajaa kwenye target za mayahudi
Inawezekana kunaandaliwa pigo ambalo nchi nzima itabaki ikilaani na kulia lia
Myahudi hajawahi kuwa mjinga linapokuja suala la vita!
Hao sio Hamas au Gaza.Bado hawajajaa kwenye target za mayahudi
Inawezekana kunaandaliwa pigo ambalo nchi nzima itabaki ikilaani na kulia lia
Myahudi hajawahi kuwa mjinga linapokuja suala la vita!
Wanaukumbi.
Msemaji wa Jeshi la Yemen "Houthis":
Tunatangaza eneo la Yafa "Tel Aviv" kama eneo lisilo salama na litakuwa lengo kuu ndani ya anuwai ya silaha zetu.
Shambulio la ndege zisizo na rubani lilitokea karibu na ubalozi mdogo wa Marekani mjini Tel Aviv, Israel, na kusababisha uharibifu mkubwa na majeruhi.
Ndege hiyo isiyo na rubani, inayoaminika kurushwa kutoka Bahari ya Mediterania, iligonga jengo lililo chini ya mita 100 kutoka kwa ubalozi huo.
Shambulio hilo lilisababisha kifo cha mtu mmoja na majeruhi kadhaa.
View: https://x.com/currentreport1/status/1814134362830684458?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
View: https://x.com/hoaxvstruths/status/1814219578098028765?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kwani Yahudi Hafahamiki?Pongezi za dhati ziende kwa Russia na Iran