mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,255
- 9,174
Muda Utasema Yemen ITAGEUZWA KIFUSI KULIKO GAZA😇😭😭😭😭Hao magaidi watawaponza wanawake na watoto wa huko Yemen.
Muda Utasema Yemen ITAGEUZWA KIFUSI KULIKO GAZA😇😭😭😭😭Hao magaidi watawaponza wanawake na watoto wa huko Yemen.
Safi ingawaje wamekufa kidogo wangekufa walau miaMtu mmoja amefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa.Miongoni mwao ni tajiri mkubwa mwenye asili ya kimarekani.
😂😂😂 Yemen au hudeidah port tena kama kawaidaYemen ina teketea uko
naona unajitekenya kunako kisha una jinusa mwenyewe acha hiyo michezo mzee utaishia kua kocho jina lenyewe una jiita utamu😂😂😂 Yemen au hudeidah port tena kama kawaida
Usrahell bila shosti zake ndio anakua kama nyanya yaani
Lgbtq+ mnajulikanwa tunaona unajitekenya kunako kisha una jinusa mwenyewe acha hiyo michezo mzee utaishia kua kocho jina lenyewe una jiita utamu
Sawa Delicious aka utam naona huna tofauti na mdogo ako james deliciousLgbtq+ mnajulikanwa tu
Mnadhani kila mtu anadhambi kama nyie
Acha hizo mambo utakufa vibaya dogo
Yoav Gallant mzee hanaga kazi mbovu yule anakwambiaYemen ina teketea uko
Ni kutokana na usemi wa bwana g rajab (comment #25) kwamba Pongezi za dhati ziende kwa Russia na Iran. Hiyo inamaanisha kulikuwa na mkono wa Russia na Iran katika tukio hilo. Kwa hiyo huko zilikoelekezwa pongezi, ni vyema pia vilio, simanzi...... vielekezwe huko huko.Viende kwa Iran na Russia kivipi mkuu?
Au unamaanisha Israel itashambulia Iran na Russia!?
Hivi uliwahi kujiuliza tokea Russia aiunge mkono Syria na mpaka sasa yupo Syria kwanini Israel hajawahi kushambulia eneo alilopo Russia na akijua Russia anamuunga mkono adui yake Syria!?
Angalau Iran huwa anajitahidi kumgusa.
Russia ni next level mkuu,huyo Israel anaweza potezwa na asiamini kama atagusa mtu yeyote wa Urusi.