dah! Na wanawake walikuwa na style yao ya ku choma nywele kwa kutumia kigae cha chungu cha moto na huku wamejipaka mafuta ya nazi.unakuta kapaka na wanja huku katikati ya paji la uso anaweka vi doti vitatu kwa uwanja.Na mtindo maarufu wa nywele kwa vijana ulikuwa ni Punk! Umenifanya nianze kupekua makabrasha ya picha zangu za enzi hizo. Niliweka punk kama ile ya Shabba Ranks na nilijulikana kwa jina hilo kunako maeneo yangu... Weweeee!! Acha hiyo maneno. Nilikuwa natoka kijijini naenda mjini (wilayani)mwendo wa miguu takriban 30km! kulikuwa na fundi mmoja matata alikuwa anaweza kunyoa hiyo kitu kama ya Shabba Ranks tena kwa mkasi na wembe Topaz! Ukimwi ulikuwa ndo kwanza unaingia mijini. Vijijini habari hatuna, tunakula maini kiulaiiini...!
Dahhhh Embu nenda kwenye Love Connect ukachekeNa wewe .. kamsome jamaa anaitwaMohammed .. labda utamwelewa miekanikumbusha kipindi kile tunaanza kujifunza English darasa la tatu.. jamaa yuko Uni.Embu niache niwe na Lazy Day.Hakuna anaye nihiitaji Leo 🙂Acha uvivu!Mpaka jua litoke au?
yaelekea we kikongwe sana mkuu,mwaka huo,wengne 2likua ha2jafkria hata kuzaliwa!
Hahahaha Nawaza tu alifikaje UNI kwa style ile Dahhh hahahahahaha sina hamu kwa Kweli ...Mungu anisamehe bure ninavyocheka.LohhhhhhhhAD,nimeshacheka kabla sijaenda huko,ngoja nikajionee!
Hahahahahahahaha loohhhhhsina hamu kwa kweli.. Kuna raha sana JF....AD my mbavu iz vunjikaring,nimechekaz mpaka nimeinafu!!Teh,teh,teh,teh!
3rd party acha uchochezi.Kwanza Husninyo kabla ya salam,ulimalizana na Dada Asha maana ulimharibia siku jana na huyo Kaizer wako!!
atakwambia we tulia tu.Husninyo uchochezi gani?Mi hajaniambia kuwa yameisha!
Husninyo,dada hajaniambia mpaka muda huu!
Namsubiri akitokea tu ninae!Mpaka kieleweke hawezi kumfanya sista alale mpaka muda huu!