Yeezianity': dini mpya inayomuabudu Kanye West

Yeezianity': dini mpya inayomuabudu Kanye West

Billie Jean

Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7
Reaction score
4
Yeezianity inawezekana ni dini mpya ambayo inamuabudu Kanye kama mkombozi wao au ni usanii tu wa watu wametumia njia hiyo maalumu kwa ajili ya kumkubali Kanye na kazi zake za kimziki.


Kanisa la Yeezus kama linavyoitwa ni kikundi cha watu wasiojulikana na wanaoamini Kanye ametumwa na Mungu duniani kwa ajili ya kizazi kipya.


Dini hiyo iliyoanzishwa mwezi uliopita inatumia kaulimbiu "THE BEST CHURCH OF ALL TIME!". Mbali na kuwa wafuasi wa Kanye, pia kuna sheria 5 za kuzifata kama muumini.

Endelea
 
Back
Top Bottom