I am the type of person where you talk to me straight upAs far as I'm concerned we are not competing about anything but rather trading good-natured banter.
But I could be wrong...
So what say you?
Mkuu kwa haraka haraka mtandaoni kwanini ukubali kumuamini mtu ambae umfahamu kama mkuu Ngabu anavyosema hapo juu
I am the type of person where you talk to me straight up
If you have a question ask me
Don't make me read between the lines, because you will get the wrong answer
So say you mean, and mean what you say
Kwa uelewa wangu mdogo mkuu Ngabu alichouliza au alichostaajabishwa nachoNi wapi Nyani alipozungumzia uaminifu katika hii mada?
But not in a good way, I might say in a funny way, what say you?And that's precisely what I did. Didn't I?
Kwa uelewa wangu mdogo mkuu Ngabu alichouliza au alichostaajabishwa nacho
Inakuaje uwe na uhusiano wa kimapenzi na mtu ambe humfahamu wala yeye hakufahamu mitandaoni
Hapo mkuu phlagiey huoni kwa haraka haraka kuwa unamwamini mtu?
Ukimkaribisha mtu ambae hamfahamiani katika maswala ya usiriasi ina maana unamuamini, je hapo uaminifu haubebi nafasi?
Nimekupata vizuri sana mkuu, asanteNijibu swali lako kutokana na uelewa wako au mada husika??
Maana swala la uaminifu katika hii mada halijazungumziwa.
It's gambling but worthwhile,,needs to stay sober and focused.. U never know unaweza lamba dume
na unaweza kumpata wako wa ubavu..........
Naam na maisha yakasonga.