Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,524
- 146,049
Inachekesha na kushangaza
Now this is comical if not downright silly.
Hivi, yawezekanaje eti mtu ukawa na uhusiano wa kimapenzi na mtu ambaye hata humjui, naye hakujui?
Kama inawezekana, huo uhusiano tuuiteje? Phantom relationship?
Au, inawezekanaje watu wawili, mmoja kati yao akadhani kuna uhusiano ilhali mwingine wala hana hata habari za jambo kama hilo, huku wote wawili wakiwa hata hawajuani?
Yeah siku hizi kimtandao mtandao inawezekana kabisa.
Mtu anajitengenezea picha na hisia zinajengeka.
Kiasi kwamba msipochat kwa masaa anajihisi kuugua.
Inashangaza ila ipo sana tu.
Mara nyingi anayependa mtu ambaye hajamuona huwa yuko loose so anatafuta pa kuponea.
Wapo wanaofanikiwa na wasiofanikiwa.
Ni hayo tu kwa leo
NyongezaNow this is comical if not downright silly.
Hivi, yawezekanaje eti mtu ukawa na uhusiano wa kimapenzi na mtu ambaye hata humjui, naye hakujui?
Kama inawezekana, huo uhusiano tuuiteje? Phantom relationship?
Au, inawezekanaje watu wawili, mmoja kati yao akadhani kuna uhusiano ilhali mwingine wala hana hata habari za jambo kama hilo, huku wote wawili wakiwa hata hawajuani?
Inachekesha na kushangaza
Nyongeza
Huwa namuonea huruma yule ambae anaweka hisia za kweli kimapenzi (mitandaoni), kumbe yule anaesaka/tafuta ni tapeli(shida yake amuibie/amlize), aisee
You are absolutely right Ngabu and I respect you for thatThat's why you never really reveal who you are when dealing with folks on the internet lest you become a victim of catfishing.
Always stay ahead of the curve - if you're real name is John tell them you're Ambrose. That way even if they run a simple background search on you they'll find nothing.
You are absolutely right Ngabu and I respect you for that
You such a strong man, it's all good
Are you for real? You are funny sometimes, don't you?I just call things they way I see them.
Btw, what's up with your name though?
Every time I see it conjures up this nasty smell....
Are you for real? You are funny sometimes, don't you?
Give me a break you got nothing to do with my name, are you intrigued by my name appeared on your screen?
Mbona hii ni kawaida kabisa na inawezekana.
You suck , shoot me if you canYeah I know I got jokes some of the times.
I am uber-intrigued by it for real. Why? You don't believe me or something?
Inquiring minds just want to know what the hell were you thinking when you came up with it.
With all the handles that you could've come up with, why Harufu?
Every time I see it I think of this nasty gooey glob of somebody's strudel:tape:.
You suck , shoot me if you can
What's your problem though?
You don't know who I am,You don't know who HARUFU is
What's the beef Ngabu?
I know what you mean NgabuGee whiz!
Please don't take umbrage at my remarks. No offense was meant.
Everything said was meant to be jokey jokes.
I know what you mean Ngabu
I was just doing the very same thing, no hard feelings
You know what? Don't take everything so seriously
That's itBe easy.
Deuces!