myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 147,808
- 656,977
Mnatembelea jina la lissu....nchi na watu wengi hii....
Ule umalaya wa mahakama ya mafisadi uliishia wapi?Tena huyu Msigwa ni mchungaji lakini anakuwa Ndumilakuwili!
Umenikumbusha kitu!Wao wenyewe ni mafisadi wa ruzuku za chama ndio maana wabunge wao wanakimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Chadema iliaminika sana chini ya Dr Slaa........ Mtairejeshaje imani ya wananchi iliyopotea?!Najua unaandika haya ukiwa katika mbeleko ya tiss, jwtz na policeccm ma wakati huo huo unanyonya Tsh 2.4T taratibu, unachofanya ni sawa na shetani kumshitaki binadamu kwa Mungu kuwa ni waovu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekosa stori leo?Chadema ni chama kilichoaminika na kukubalika baada ya kujitanabaisha kama chama cha kutetea wanyonge na kulinda maslahi ya taifa ikiwemo kupiga vita ufisadi.
Katibu mkuu mstaafu wa chadema alisimama kidete kupigana vita hii akishirikiana na mwanaharakati wa rasilimali ya madini na mazingira Tundu Antipas Lisu.
Lakini tokea Dr Slaa aachane na Chadema na kustaafu siasa za majukwaani vita dhidi ya ufisadi pale Ufipa imekufa kabisa.
Kwa sasa si Tundu Antipas Lisu wala JJ Mnyika utakayemsikia akiwakemea mafisadi bali wao ndio wamegeuka kuwa watetezi wa mafisadi.
Najiuliza tu ile vita ya ufisadi ilikuwa ni ajenda binafsi ya Dr Slaa maana siku hizi kuzungumzia ufisadi pale Ufipa ni lazima uwe na moyo kama wa mwendawazimu hivi.
Ni hayo tu akina bwashee
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaa........ Nimeikumbuka ile Chadema ya Buzwagi!Umekosa stori leo?
Mkuu Chadema iliaminika sana chini ya Dr Slaa........ Mtairejeshaje imani ya wananchi iliyopotea?!
Usiwasingizie TISS wao hawaegemei upande wowote. Ushauri wanautoa kila siku ushauri tena mzuri tu sasa inategemea na mshauriwa anaweza kuupokea ushauri au kuukataa. Kumbuka kuwa ushauri haufutiki hata siku moja utaendelea kuwa kwenye kumbukumbu hadi mtume atakaporudi.Njia rahis kujua iwapo upinzani una support ya wananchi ni mwitikio wao katika mikutano ya hadhara na free elelction, sasa jiww kazuia mikutano isipokuwa kwa ccm, chaguzi mmeweka makada wenu ndio watangaze matokeo, halafu mwenyekiti wenu anawambia ole wako umtangaze mpinzani mshimdi, na ndio maana nasema kinachowapa jeuri ni hiyo mbeleko ya tiss,jwtz na police na NEC.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walimuona anawazingua tu,waliona ufisadi ni dili na ndio maana wakamtupilia mbali slaa wakaingiza mafisadi maarufu ili wajaze pesa,matokeo yake yakaenda kinyume na ndio maana sasa ivi wanamshikilia tundu lissu kwa sababu anaunga mkono ufisadi na ushoga.Tutaelewa tu wafipa.Chadema ni chama kilichoaminika na kukubalika baada ya kujitanabaisha kama chama cha kutetea wanyonge na kulinda maslahi ya taifa ikiwemo kupiga vita ufisadi.
Katibu mkuu mstaafu wa chadema alisimama kidete kupigana vita hii akishirikiana na mwanaharakati wa rasilimali ya madini na mazingira Tundu Antipas Lisu.
Lakini tokea Dr Slaa aachane na Chadema na kustaafu siasa za majukwaani vita dhidi ya ufisadi pale Ufipa imekufa kabisa.
Kwa sasa si Tundu Antipas Lisu wala JJ Mnyika utakayemsikia akiwakemea mafisadi bali wao ndio wamegeuka kuwa watetezi wa mafisadi.
Najiuliza tu ile vita ya ufisadi ilikuwa ni ajenda binafsi ya Dr Slaa maana siku hizi kuzungumzia ufisadi pale Ufipa ni lazima uwe na moyo kama wa mwendawazimu hivi.
Ni hayo tu akina bwashee
Maendeleo hayana vyama!
Chadema ni chama kilichoaminika na kukubalika baada ya kujitanabaisha kama chama cha kutetea wanyonge na kulinda maslahi ya taifa ikiwemo kupiga vita ufisadi.

Utawajua kwa matendo yao, kukana haiwasaidii tiss wala nchi, watu tuna macho, masikio na pia tunapapasa, we endelea kula kuku kwa mrija maana na wewe unaoneka ni mnufaika huko tiss au ugambani.T
Usiwasingizie TISS wao hawaegemei upande wowote. Ushauri wanautoa kila siku ushauri tena mzuri tu sasa inategemea na mshauriwa anaweza kuupokea ushauri au kuukataa. Kumbuka kuwa ushauri haufutiki hata siku moja utaendelea kuwa kwenye kumbukumbu hadi mtume atakaporudi.
Chadema ni chama kilichoaminika na kukubalika baada ya kujitanabaisha kama chama cha kutetea wanyonge na kulinda maslahi ya taifa ikiwemo kupiga vita ufisadi.
Katibu mkuu mstaafu wa chadema alisimama kidete kupigana vita hii akishirikiana na mwanaharakati wa rasilimali ya madini na mazingira Tundu Antipas Lisu.
Lakini tokea Dr Slaa aachane na Chadema na kustaafu siasa za majukwaani vita dhidi ya ufisadi pale Ufipa imekufa kabisa.
Kwa sasa si Tundu Antipas Lisu wala JJ Mnyika utakayemsikia akiwakemea mafisadi bali wao ndio wamegeuka kuwa watetezi wa mafisadi.
Najiuliza tu ile vita ya ufisadi ilikuwa ni ajenda binafsi ya Dr Slaa maana siku hizi kuzungumzia ufisadi pale Ufipa ni lazima uwe na moyo kama wa mwendawazimu hivi.
Ni hayo tu akina bwashee
Maendeleo hayana vyama!
Kwani Zitto yuko Chadema?!
Bwashee mbwiga hiyo 1.5t na vote 20 ni hoja ya Zitto na uwezo wa Zitto kimjadala ni zaidi ya wabunge wote wa chadema ukimtoa Tundu Antipas Lisu!Kama jambo dogo kiasi hiki linakushinda kufahamu, nini kingine cha maana unaweza?? Uzi wangu umejikita katika "Chadema" kama ilivowasilishwa na mleta mada. Hata sikwenda mbali kusema hata CCM wenyewe wanapinga ufisadi, viongozi wa dini nk. Lakini unaniuliza habari za Zitto utadhani hata nimemtaja. Jifunze kujadili hoja badala ya majina. Uchambuzi wangu ulikuwa kwenye hoja na sio fulani ama fulani.
Small minds discuss names!! Big minds discuss issues!!
Kitendo cha wao kumtukana Mzee Lowassa kwa miaka minane na kutaka kumsafisha kwa miezi mitatu tu kuelekea uchaguzi, ni ushahidi kwamba hawa jamaa wanayo bei yao.Chadema ni chama kilichoaminika na kukubalika baada ya kujitanabaisha kama chama cha kutetea wanyonge na kulinda maslahi ya taifa ikiwemo kupiga vita ufisadi.