Yawezekana vita ya Ufisadi ilikuwa ni ajenda ya Dr Slaa peke yake pale Chadema baada ya kuondoka mafisadi wanakumbatiwa na kutetewa!

Wakamateni mnangoja nini..?

Walioingia mikataba mibovu na wanasheria wote mnao huko CCM,

Walioingiza taifa hasara ya raslimali zake wote mnao ,mahakama ya mafisadi ipo,inafanya kazi gani..?

Hata wale walioingiza wakulima wa Korosho hasara wote kamata tu wengi wako huko CCM.

Walioshusha thamani ya Shilingi mnao huko ..

Deni la Taifa linazidi kukua we unakomaa na Chadema.

Vita ya ufisadi siyo ya Chadema tu,ni ya kila Mtu .

Vipi manunuzi ya Ndege Bombadia yalipata baraka za Bunge,au mtu mmoja aliidhinisha pesa za walipa kodi zikanunue ndege bila kufata taratibu, kwa taarifa yako huko ndiyo nchi imepigwa vibaya sana we endelea kusifu na kushangilia.
 
Najua unaandika haya ukiwa katika mbeleko ya tiss, jwtz na policeccm ma wakati huo huo unanyonya Tsh 2.4T taratibu, unachofanya ni sawa na shetani kumshitaki binadamu kwa Mungu kuwa ni waovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema ni chama kilichoaminika na kukubalika baada ya kujitanabaisha kama chama cha kutetea wanyonge na kulinda maslahi ya taifa ikiwemo kupiga vita ufisadi.

Katibu mkuu mstaafu wa chadema alisimama kidete kupigana vita hii akishirikiana na mwanaharakati wa rasilimali ya madini na mazingira Tundu Antipas Lisu.
Lakini tokea Dr Slaa aachane na Chadema na kustaafu siasa za majukwaani vita dhidi ya ufisadi pale Ufipa imekufa kabisa.

Kwa sasa si Tundu Antipas Lisu wala JJ Mnyika utakayemsikia akiwakemea mafisadi bali wao ndio wamegeuka kuwa watetezi wa mafisadi.

Najiuliza tu ile vita ya ufisadi ilikuwa ni ajenda binafsi ya Dr Slaa maana siku hizi kuzungumzia ufisadi pale Ufipa ni lazima uwe na moyo kama wa mwendawazimu hivi.

Ni hayo tu akina bwashee
Maendeleo hayana vyama!
Umekosa stori leo?
 
Njia rahis kujua iwapo upinzani una support ya wananchi ni mwitikio wao katika mikutano ya hadhara na free elelction, sasa jiww kazuia mikutano isipokuwa kwa ccm, chaguzi mmeweka makada wenu ndio watangaze matokeo, halafu mwenyekiti wenu anawambia ole wako umtangaze mpinzani mshimdi, na ndio maana nasema kinachowapa jeuri ni hiyo mbeleko ya tiss,jwtz na police na NEC.
Mkuu Chadema iliaminika sana chini ya Dr Slaa........ Mtairejeshaje imani ya wananchi iliyopotea?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
T
Njia rahis kujua iwapo upinzani una support ya wananchi ni mwitikio wao katika mikutano ya hadhara na free elelction, sasa jiww kazuia mikutano isipokuwa kwa ccm, chaguzi mmeweka makada wenu ndio watangaze matokeo, halafu mwenyekiti wenu anawambia ole wako umtangaze mpinzani mshimdi, na ndio maana nasema kinachowapa jeuri ni hiyo mbeleko ya tiss,jwtz na police na NEC.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwasingizie TISS wao hawaegemei upande wowote. Ushauri wanautoa kila siku ushauri tena mzuri tu sasa inategemea na mshauriwa anaweza kuupokea ushauri au kuukataa. Kumbuka kuwa ushauri haufutiki hata siku moja utaendelea kuwa kwenye kumbukumbu hadi mtume atakaporudi.
 
Chadema ni chama kilichoaminika na kukubalika baada ya kujitanabaisha kama chama cha kutetea wanyonge na kulinda maslahi ya taifa ikiwemo kupiga vita ufisadi.

Katibu mkuu mstaafu wa chadema alisimama kidete kupigana vita hii akishirikiana na mwanaharakati wa rasilimali ya madini na mazingira Tundu Antipas Lisu.
Lakini tokea Dr Slaa aachane na Chadema na kustaafu siasa za majukwaani vita dhidi ya ufisadi pale Ufipa imekufa kabisa.

Kwa sasa si Tundu Antipas Lisu wala JJ Mnyika utakayemsikia akiwakemea mafisadi bali wao ndio wamegeuka kuwa watetezi wa mafisadi.

Najiuliza tu ile vita ya ufisadi ilikuwa ni ajenda binafsi ya Dr Slaa maana siku hizi kuzungumzia ufisadi pale Ufipa ni lazima uwe na moyo kama wa mwendawazimu hivi.

Ni hayo tu akina bwashee
Maendeleo hayana vyama!
Walimuona anawazingua tu,waliona ufisadi ni dili na ndio maana wakamtupilia mbali slaa wakaingiza mafisadi maarufu ili wajaze pesa,matokeo yake yakaenda kinyume na ndio maana sasa ivi wanamshikilia tundu lissu kwa sababu anaunga mkono ufisadi na ushoga.Tutaelewa tu wafipa.
 
Chadema ni chama kilichoaminika na kukubalika baada ya kujitanabaisha kama chama cha kutetea wanyonge na kulinda maslahi ya taifa ikiwemo kupiga vita ufisadi.

Katibu mkuu mstaafu wa chadema alisimama kidete kupigana vita hii akishirikiana na mwanaharakati wa rasilimali ya madini na mazingira Tundu Antipas Lisu.
Lakini tokea Dr Slaa aachane na Chadema na kustaafu siasa za majukwaani vita dhidi ya ufisadi pale Ufipa imekufa kabisa.

Kwa sasa si Tundu Antipas Lisu wala JJ Mnyika utakayemsikia akiwakemea mafisadi bali wao ndio wamegeuka kuwa watetezi wa mafisadi.

Najiuliza tu ile vita ya ufisadi ilikuwa ni ajenda binafsi ya Dr Slaa maana siku hizi kuzungumzia ufisadi pale Ufipa ni lazima uwe na moyo kama wa mwendawazimu hivi.

Ni hayo tu akina bwashee
Maendeleo hayana vyama!

Hivi mkuu tanzania ya leo ni nani fisadi zaid ya jiwe?wacha kuongea siasa kinyesi ww.
 
T
Usiwasingizie TISS wao hawaegemei upande wowote. Ushauri wanautoa kila siku ushauri tena mzuri tu sasa inategemea na mshauriwa anaweza kuupokea ushauri au kuukataa. Kumbuka kuwa ushauri haufutiki hata siku moja utaendelea kuwa kwenye kumbukumbu hadi mtume atakaporudi.
Utawajua kwa matendo yao, kukana haiwasaidii tiss wala nchi, watu tuna macho, masikio na pia tunapapasa, we endelea kula kuku kwa mrija maana na wewe unaoneka ni mnufaika huko tiss au ugambani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema ni chama kilichoaminika na kukubalika baada ya kujitanabaisha kama chama cha kutetea wanyonge na kulinda maslahi ya taifa ikiwemo kupiga vita ufisadi.

Katibu mkuu mstaafu wa chadema alisimama kidete kupigana vita hii akishirikiana na mwanaharakati wa rasilimali ya madini na mazingira Tundu Antipas Lisu.
Lakini tokea Dr Slaa aachane na Chadema na kustaafu siasa za majukwaani vita dhidi ya ufisadi pale Ufipa imekufa kabisa.

Kwa sasa si Tundu Antipas Lisu wala JJ Mnyika utakayemsikia akiwakemea mafisadi bali wao ndio wamegeuka kuwa watetezi wa mafisadi.

Najiuliza tu ile vita ya ufisadi ilikuwa ni ajenda binafsi ya Dr Slaa maana siku hizi kuzungumzia ufisadi pale Ufipa ni lazima uwe na moyo kama wa mwendawazimu hivi.

Ni hayo tu akina bwashee
Maendeleo hayana vyama!

TL alipohoji Chattle aitport, ununuzi wa ndege bila kufuata utaratibu mkamjibu wa kwa risasi. Ajenda ya ufisaɗi gani mnataka!?
 
Kwani Zitto yuko Chadema?!

Kama jambo dogo kiasi hiki linakushinda kufahamu, nini kingine cha maana unaweza?? Uzi wangu umejikita katika "Chadema" kama ilivowasilishwa na mleta mada. Hata sikwenda mbali kusema hata CCM wenyewe wanapinga ufisadi, viongozi wa dini nk. Lakini unaniuliza habari za Zitto utadhani hata nimemtaja. Jifunze kujadili hoja badala ya majina. Uchambuzi wangu ulikuwa kwenye hoja na sio fulani ama fulani.

Small minds discuss names!! Big minds discuss issues!!
 
Bwashee mbwiga hiyo 1.5t na vote 20 ni hoja ya Zitto na uwezo wa Zitto kimjadala ni zaidi ya wabunge wote wa chadema ukimtoa Tundu Antipas Lisu!
 
Chadema ni chama kilichoaminika na kukubalika baada ya kujitanabaisha kama chama cha kutetea wanyonge na kulinda maslahi ya taifa ikiwemo kupiga vita ufisadi.

Katibu mkuu mstaafu wa chadema alisimama kidete kupigana vita hii akishirikiana na mwanaharakati wa rasilimali ya madini na mazingira Tundu Antipas Lisu.
Lakini tokea Dr Slaa aachane na Chadema na kustaafu siasa za majukwaani vita dhidi ya ufisadi pale Ufipa imekufa kabisa.

Kwa sasa si Tundu Antipas Lisu wala JJ Mnyika utakayemsikia akiwakemea mafisadi bali wao ndio wamegeuka kuwa watetezi wa mafisadi.

Najiuliza tu ile vita ya ufisadi ilikuwa ni ajenda binafsi ya Dr Slaa maana siku hizi kuzungumzia ufisadi pale Ufipa ni lazima uwe na moyo kama wa mwendawazimu hivi.

Ni hayo tu akina bwashee
Maendeleo hayana vyama!
Kitendo cha wao kumtukana Mzee Lowassa kwa miaka minane na kutaka kumsafisha kwa miezi mitatu tu kuelekea uchaguzi, ni ushahidi kwamba hawa jamaa wanayo bei yao.

Wananunulika, na wamejitahidi sana kuanzisha threads za kutafuta uhalali mpya mbele ya jamii lakini wapi!!, tayari wameshachafuka kwa kuwaaminisha watu kwamba na wao ni wasaka tonge tu, wakipewa ikulu zitaibuka kashfa nyingi tu za upigaji.
 
Back
Top Bottom