Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Heri yako, mie niliwahi kuitwa KIGODORO.................................
Heri yako, mie niliwahi kuitwa KIGODORO.................................
he he he, bora hajaongelea kisu kimchinjacho.
Na ingekuwa hatari zaidi kama angepaita manyongani.
Sasa kama kila akifika hapo kwako anakukuta kisu mkononi unataka kumchinja, asemeje?
hahaha,, balaaa dunian ,, sasa utakubalije uyo kimwana akurushe roho? na jengine nn maana ya kununua mapanki? haha ruta watoto wako tele wazuriii, find parfect match f u best,atajua thamani yako huyo ikiwa hakuon
dah hii ya leo kali anayekuita kichinjio hajakosea kabisa!!kabinti size namba ngapi?nikusaidie maunjanja kijana.