ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Mie sijalifurahia
kwa nini?
Wazo zuri ila binafsi sina hulka ya kujimix napenda kukeep my private life private na nina a very small circle of friends, ila ni jambo jema na waencourage kina dada/mama wajf waonyeshe mwitikio chanya
hizi id humu unaweza kuta mzabzab ni boooonge moja ya mrembo (niwie radhi ni metumia jinalo kama mfano tu mwayego)
hizi id humu unaweza kuta mzabzab ni boooonge moja ya mrembo (niwie radhi ni metumia jinalo kama mfano tu mwayego)
Sina uhakika kama tunaweza kukutana.Ni ngumu sana from past experience.
haya bwana naona mzabzab mmelipenda kweli
usijali na potezea toa maoni yako best
Sina uhakika kama tunaweza kukutana.Ni ngumu sana from past experience.
Nimekuelewa sana bibie lakini naona hutaki kuukubali ukweli ninaosema. I doubt very much about this..Hapa tunafekisha sana our real identities.Tukikutana nadhani tutachukua muda sana ku cope na tabia za kila mmoja.Nishajaribu hii kitu ya wanawake kwenye jumuia nyingine tena kwa kusukumwa kwa winchi ilimradi tuende lakn wapi? Inahitaji UPAKO hii kitu.Na kwa Dar hii ndo sina uhakika kabisa kwani excuses ni nyingi hasa za kuhusiana na muda.Ni wazo zuri lakn umetoa kwani UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU.Lakini tufanyie kazi kwanza mapungufu yetu kama wanawake tusijifanye blind hatuoni tuna matatizo gani.May be ingeanzia kwanza jukwaani kwa mada mbalimbali watu wakishazoea ndio iende kwenye real life.Alichoandika mzabzab ni tatizo lingine tulilonalo sisi wanawake.nadhani hujanielewa vizuri best labda ufuatilie hiyo mada vizuri acha nikupaste japo hapa utaelewa "Moyoni mwangu niliwaza na kufikiri kuwa tuanzishe kitu ambacho kitatupa umoja/ushirikiano/uhusiano wa karibu yetu na vilevile hata kutembeleana kama itawezekana kwa wale walioko mkoa kwa mkoa." nadhani hapa utaelewa yaani wale walioko mkoa mmoja wanatembeleana na kupeana yale ambayo tumeyaamua katika jukwaa letu litakaloanzishwa na founder wetu hapa, kisha mambo ambayo tumeambiana na kupeana majukumu tutayafanya huko huko tuliko katika mikoa yetu na wale viongozi tutakaowachagua wao itabidi wafanye ulazima wa kujua kila kikundi cha mkoa kuna nani ambaye ataleta maelezo ya kikundi hicho toka mkoani kwake atokako sasa hapa naona umeshanielewa, lete ushauri na maoni yako best
hamna unity...division is ur aim kila leo
Eee jitengeni tu,
Tena msiishie hapo,
Mkipata jukwaa lenu,
Ombeni na Jf yenu,
Mkipata na hiyo,
Ombeni na nchi yenu,
Si haki sawa?
Si wanawake kwanza?
Si ndio maendeleo?
Vigelegele na makofi
LAKINI Wanaume wana nafasi yao.