Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Ubarikiwe mwayego!
Boooooonge la New's Year Resolution.
Safi sana mkuu. sasa uwe makini zaidi katika kulinda afya yako. Mungu akupatie mwenza unaestahili. zetu dua kaka
Mtoto halali na hela nilifikiri umempata wa kula nae kiapo cha maisha kumbe bado unasaka tuu
Na kwenye kusaka huko mkuu utakubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia kuwa tukae mpaka ndoa ndo tuonyeshane mambo yetu au utachovya tena kuhakikisha kuwa ni mbuzi kweli na sio mbwa
hapo nina wasi wasi na maamuzi hayo maana bado hayajakaa sawa
Ila hongera kujikuta uko salama mkuu
Yesu akusaidie, ukiamini na kuamua kwa dhati yote yanawezekana.
Asante mamaafacebook, M CM kuhusu hilo hakuna kwa kuwa ilikuwa ni kipindi ya mchanganyikeni mkuu Tized nitajitahidi kusimamia maamuzi yangu.