Halafu ni kweli boda boda wanaongoza kukumbatiwa sana na wake za watuHata mseme vipi kazi ya bodaboda siiachi leo nilikumbatiwa na mshangazi mmoja huyo hatari alikua anaogopa kuanguka barabara nzima ni miluzi tu
Mume wake angeona angenishikia bastola
Anapokuwa juu ya chombo wanakuwa kitu kimoja na mwendesha bodaHalafu ni kweli boda boda wanaongoza kukumbatiwa sana na wake za watu
😀😀😀Bodaboda wa siku hizi ukimuangalia tu tayari kashawasha pikipiki
Hata mseme vipi kazi ya bodaboda siiachi leo nilikumbatiwa na mshangazi mmoja huyo hatari alikua anaogopa kuanguka barabara nzima ni miluzi tu
Mume wake angeona angenishikia bastola
Acha bhasiJoto la tank linaleta uhanithi baadae,harufu ya petrol inaleta uchizi
Na ukimshusha kijiwe kingine wahuni lazima tukwbia asanteeee baba kwa kutuletea zigoooHata mseme vipi kazi ya bodaboda siiachi leo nilikumbatiwa na mshangazi mmoja huyo hatari alikua anaogopa kuanguka barabara nzima ni miluzi tu
Mume wake angeona angenishikia bastola
Ndio maana wanaanza kula mafao kabla ya kustaafu. Wanazichakata kweli kweli na hawachagui yeyote wanabeba tu kama abiria maana wanajua mwisho wao uko karibu..Joto la tank linaleta uhanithi baadae,harufu ya petrol inaleta uchizi
OoohhhhNdio maana wanaanza kula mafao kabla ya kustaafu. Wanazichakata kweli kweli na hawachagui yeyote wanabeba tu kama abiria maana wanajua mwisho wao uko karibu..
[emoji1787][emoji1787]Bodaboda wa siku hizi ukimuangalia tu tayari kashawasha pikipiki
Lakini hatariKazi nzuri
Hasa akiwa anachuchu za kuchoma!wanashika breki kwa ghafla ili abiria amsogelee mgongoni