Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Siasa katika Tanzania ni adui mkubwa wa kila jambo, elimu, afya, na hata maendeleo yetu kwa ujumla yanaathiriwa sana na siasa. na hapo ndipo udini na ukabila unapokuja pia kushambulia kama inavyojionyesha humu sasaKwa kweli siasa itaharibu elimu ya nchi yetu, habari hii imenisikitisha sana ndugu yangu naumia sana
Naunga mkono hoja nampendekeza PONDATunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.
Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.
Nawasilisha
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
nlikuwa nasubiri post ya udini kama hii nijue msimamo wenu
kwa hivo akiwekwa muislamu ndio watafaulu sana wanafunzi au?
Nampongeza aliemteua anaekaimu kwa sasa
Bakwata undeni baraza lenu la mitihani na mjitenge na NECTA kama mnaona mnaonewa
nlidhani bibie Faiza ana upeo kumbe kichwani zero kabisa
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Sisi wa lile dhehebu tulidhani sasa atawekwa "mwenzetu" kukaimu na baadaye kuthibitishwa, kuna holaaa! Kwa mwendo huu, vita yetu na necta haitakwisha asilani.
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Kwa nini iwe muislamu? Kwani nafasi za serikali hutolewa kwa kigezo cha dini? Kwani huo ni uongozi wa msikiti? Shame on you Faiza mnachotaka ni kugombanisha watanzania kwa kigezo cha dini. Shame on you again and again. Leo umenikera sana foxyTunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.