Yatawashindaaaa haoo!

Yatawashindaaaa haoo!

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
Habarai za alasiri mabibi na mabwana wa MMU,

Natumai mmeanza wiki salama na siku yenu imeenda poa. Leo niko hivi....................

Kuna watu shuhuli za kufanya wanazo ila kutwa kucha kufatilia ya wenzao hii ni kuanzia kitaa kazini hadi kanisani macho yanawatoka pimaa kamera mkononi kunakili matukio hata usingizi hawalali kazi kusinzia barabarani utasema mateja. Mazuri ya Kasie wakiyashuhudia roho zao zinawaumaaa haoooo roho zao mbayaaa mioyo yao kuniombea mabaya. Wanatafuta yangu mabaya ili wayaongee na wao ndo kufurahi kwani usifurahi na wako nyumbani ufurahishwe na mabaya ya Kasie? looh aibu zimewajaaa mie nina peta... kazi kusema ya watu ya kwao yanawashinda.

Hhahahahaaa Kasinde na TJ..........................

Wana talk talk wanasema sema na kuchonga chonga wanatema mbaya dawa ni kutokuongea nao, sicheki nao wala kuwapa hi, sili nao hata ikiwa chips dry na wasemee mie nakula good time, sitaki karaha nisije kusababisha wacha mie niinjoi full kula bata bin kupopo whaaaiii

Naishi vile nataka nachokipata nakijua mwenyewe napiga deal naingiza chapaa ya kunitosha kujirusha, ni pesa ni gari ni peace vyote vyangu kwa raha zangu sili cha mtu endelea kuumia rohoo weeeh hadi ukwatuke mie nakula good time as usual.

Kasie asema chunguza yako kwanza uone ku ndu lo si kukagua la mwenzio. Hii ni watu wa ofisini inawahusu sanaaaa, wa kanisani vile vile kuchunguza nimevaa nini jumapili hii, kwa nini jumapili iliyopita hukuja khaa wewe ndo paroko? mara umekuja kanisani bila biblia au kitabu cha nyimbo, mara leo umeingia kanisani umechelewa mara jumapili iliyopita uliwahi kutoka kbla ya misa kuisha heeeeeh kwani wewe kasisi? au parishwekaa..............!!!

Wa kitaa ndo usiseme utasikia Kasie jana ulichelewa kurudi home, week end iliyopita hukulala home kwako ulisafiri, safari ya kikazi au mishe mishe ....................babueeeh haihuuu nenda kampikie mumeo aiii kama unayatamani maisha yangu IGA UFEE uisikie vizuri hadithi ya kumuiga tembo kupuu................... utapasuka msamba.

Hujaelewa ujue si yako, umeyashiba maneno inakuhusu yafanyie kazi.

Haoooooooooooo macho kodooo na kubaki na alama za viulizo kichwani........???????

Kasie aka Ajuza aka Kigagula aka Alien.

Haaaooooooo yatawashinda
 
Naomba unitengenenezee summary af unitumie (usinitukane maake members wengi wanajua matusi kweli)
 
Dawa ni kutowajali iwapo kweli unataka kuwa huru kuishi unavotaka.
 
Attachments

  • 1447857768306.jpg
    1447857768306.jpg
    17.1 KB · Views: 436
Hao wa ofisini na mtaani sina shida nao nataka nizungumzie hao wa kanisani...
Kwanza lengo la wewe kwenda kanisani unalijua au unaenda kwa mazoea....kama lengo unalijua ni lipi??? Ujue binadamu tunatofautiana....walio wengi wanaenda kanisani kupata neno liwafae katika maisha yao ya kila siku ya kumtafuta Mungu na hatimaye uzima wa milele...watu wa namna hii hudhani kuwa kila mtu anaenda kanisani kwa lengo hilo. Kwa mtu anayeenda kanisani kwa lengo la kumtafuta Mungu huwa hapuuzii mambo madogo madogo....anajua akichelewa kanisani,akiwahi kutoka,akivaa nguo ya kukwaza wengine,asiposoma biblia ibada yake haikukamilika na akiona ndugu yake anafanya jambo ambalo yeye huwa linamcost hawezi kunyamaza,lazima atamuonya maana ndivyo neno linavyosema.
Hao wanaokufuatilia wasamehe bure...wao wanadhani mko safari moja kwa hiyo wanajitahidi kukushtua wanapoona unafanya mambo yanayokuweka mbali na Mungu. Nafikiri ni vema ukawaweka wazi tu kwamba hayo mambo kwako si muhimu sana sidhani kama wataendelea kukufuatilia...yangu mimi ni hayo tu
 
Mmh!hapa wanahitajika wataalamu wa kuunganisha dot.
 
Asante mtumishi wa Mungu, naomba tufanye maombi mimi na wewe tu
 
Nahisi Khantwe unasali kanisa moja na Kasinde, ila ni hisia zangu na sio lazima kila hisia ifike kileleni😉
 
Last edited by a moderator:
Naomba unitengenenezee summary af unitumie (usinitukane maake members wengi wanajua matusi kweli)

Ekootikeeee....................Eeeekoootikeeeee.................... Eeeekotikeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
hilo jiwe ulilo rusha kasinde limetua gizani
 
Back
Top Bottom