20PROFF JF-Expert Member Nov 5, 2013 8,147 7,123 Jun 3, 2016 #3 Aiseeee. Ni risk sana. Halaf ngoj usikie ujira wanao lipwa
fakalava JF-Expert Member Jul 16, 2015 4,459 6,027 Jun 3, 2016 #4 Hii hairuhusiwi kabisa, inarisk maisha ya wafanyakazi.
Mentor JF-Expert Member Oct 14, 2008 20,328 23,890 Jun 3, 2016 #5 Duh haya ndo maisha...labda kama wamekatiwa Life Assurance!!!
kijana wa leo JF-Expert Member Nov 28, 2011 2,916 7,164 Jun 3, 2016 #6 Kasheshe ni huyo aliyetengeneza hizo scaffolding sijui alikua anasimama vipi
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 Jun 3, 2016 Thread starter #7 merengo90 said: Aiseeee. Ni risk sana. Halaf ngoj usikie ujira wanao lipwa Click to expand... umeona eh
merengo90 said: Aiseeee. Ni risk sana. Halaf ngoj usikie ujira wanao lipwa Click to expand... umeona eh
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,075 17,237 Jun 3, 2016 #8 Amavubi said: View attachment 353125 Click to expand... duh
gnassingbe JF-Expert Member Jun 14, 2015 4,826 3,574 Jun 3, 2016 #11 ngilenengo1 said: No way! Sifanyi hiyo kazi ng'o Click to expand... Utafanya tu!Kama fursa uliyonayo ndo hiyo hiyo tu!
ngilenengo1 said: No way! Sifanyi hiyo kazi ng'o Click to expand... Utafanya tu!Kama fursa uliyonayo ndo hiyo hiyo tu!
GENTAMYCINE JF-Expert Member Jul 13, 2013 59,949 119,212 Jun 3, 2016 #13 Amavubi said: View attachment 353125 Click to expand... Hao ni MAKOMANDOO au?
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,515 28,487 Jun 3, 2016 #14 Mh weli yataka moyo aisee
Kisima JF-Expert Member Oct 8, 2010 4,113 4,467 Jun 3, 2016 #15 Halafu cha kujiuliza wanaojengewa hiyo barabara walianza anzaje kuopt kuweka makazi huko.?
Horseshoe Arch JF-Expert Member Aug 10, 2009 13,403 12,762 Jun 3, 2016 #16 Mentor said: Duh haya ndo maisha...labda kama wamekatiwa Life Assurance!!! Click to expand... Mkuu unatafutwa kwenye Mwanayumba wako....
Mentor said: Duh haya ndo maisha...labda kama wamekatiwa Life Assurance!!! Click to expand... Mkuu unatafutwa kwenye Mwanayumba wako....
Lumbi9 JF-Expert Member Oct 12, 2014 8,638 12,061 Jun 3, 2016 #17 nakumbuka kipindi tanhouse inajengwa, si mchezo lile jukwaa
longi mapexa JF-Expert Member Jul 18, 2015 3,205 4,065 Jun 3, 2016 #19 mbaya zaidi pesa utakayolipwa anachukua yote MWANAMKE!..