Yasingeibiwa vifaa magari yaliyokuwa msiba wa mke wa Mwakyembe msingekamata wauza spare?

Enzi zileee. Akipigwa mwanajeshi kwa kufumaniwa au vurugu za baa mtaa mzima unafungwa. Viboko hadi mtaje.

Akiuliwa mwizi wa kuku inakua wananchi wenye hasira kali.

Sahauni kuhusu wanyonge kutetewa.
 
Kununua vifaa miata 5 au 10 iliyopita haijustify kutokuwa na receipt. Swala la kutunza kumbukumbu ni muhimu kwa mfanyabiashara yeyote. Hakuna swala la kijinga lolote kwa kuombwa reference.
We unapayuka tu ,una risiti zote za vitu ulivyonunua toka umeanza kujitegemea?
 
Ss ww mleta uzi ni kpi kna kuathiri wakikamatwa wanaouza vp vya uwizi? Ama ww ndio wanakuletea wakisha viiba? Maana wtu wengine nyinyi ni wtu waajabu sana kla ktu kwenu nyinyi ni kpinga tu mnattea mpka wezi ss Duuuh!!!! Hlafu inawezkana na ww ni msomi eti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakamatwe tu yaan simpendi Makonda lakini kwa hili namuunga mkono, kuna siku tumeamka asubuhi tukakuta tumesafishiwa gari katika kutafuta spare tukakuta vioo vya gari yetu vinauzwa ikabidi tuvinunue hatukua na jinsi!!

wauza vifaa vya magari wanawajua wezi woteee, wawekwe ndani na wasitolewe mpaka wawataje hao wanaowaletea vifaa
 
Hii operation ya kukamata wauza spare imekuja baada ya magari zaidi ya 10 yaliyokua kwenye msiba wa mke wa Mh Mwakyembe kuibwa vifaa vya ndani, jambo lililopelekea kukamatwa kwa wauza spare used karibu wote kuanzia Tandale mpaka Kariakoo.

Sehemu zinakouziwa spare za wizi zinajulikana na ziko wazi pale Kariakoo tena jirani na kituo cha Polisi na Polisi wanajua hilo na wengine huenda wanakula dili na hao wezi......

Haikuwa busara kukurupuka na kuanza kuweka watu ndani hovyo wakati mnajua fika hivyo vifaa vyote mngevipata pale Kariakoo mnadani tena vikiwa na namba za magari yenu na hapo mngekamata wahusika.

Watanzania tukinyamaza msifikiri hatujui au hatuoni yanayoendelea kwa sababu sisi ndio tunaathirika zaidi.
Ulitakaje !?
 
Maduka yale yameajiri watu wengi
spares zinaletwa kutoka japan na Dubai
wamelipa kodi
juzi kuna gari truck limeharibika...spares zake mpaka used shops...tumekwenda bashite kayafunga..mpaka sasa gari halijaondoka
maamuzi ya bashite hapa mjini ni kuumiza wakaazi wa mjini mfano kutofungua biashara jumamosi ..kumeathiri watu wengi sana lakini anataka kuonekana naye kafanya kitu kwa wakazi wa dar...kuwafungia biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini duka lifungwe kama una docs zote zinazoonyesha ulipataje mzigo wako!?

Mi ninavyojua wengi wenye haya maduka wananunua spare za wizi kwahiyo hawana nyaraka za kuthibitisha uhalali wa umiliki.
Hao lazima qafungiwe tu maana wizi kwenye magari ulifika pabaya mno.
 
wakamatwe tu yaan simpendi Makonda lakini kwa hili namuunga mkono, kuna siku tumeamka asubuhi tukakuta tumesafishiwa gari katika kutafuta spare tukakuta vioo vya gari yetu vinauzwa ikabidi tuvinunue hatukua na jinsi!!

wauza vifaa vya magari wanawajua wezi woteee, wawekwe ndani na wasitolewe mpaka wawataje hao wanaowaletea vifaa

Teh! si ungewaambia hivi ndio vyangu labda wangekupa
 
Kwanini duka lifungwe kama una docs zote zinazoonyesha ulipataje mzigo wako!?

Mi ninavyojua wengi wenye haya maduka wananunua spare za wizi kwahiyo hawana nyaraka za kuthibitisha uhalali wa umiliki.
Hao lazima qafungiwe tu maana wizi kwenye magari ulifika pabaya mno.
Uwongo..wezi wanajulikana
maduka ya spares yapo na mtandao wa wezi wa magari upo na polisi unawajua
tatizo hamjui mzigo unaingiaje
bashite anaingoza kwa hisia .
Leo imeibiwa cement ya dangote basi kamata wauza cement wote
au leo yameibiwa madawa bohari kuu kamata madawa yote...huu ni ujinga
ukiagiza spares nje unaletewa container zima la aina unazo taka.
hakuna manifest ya kila kitu kilichomo na yeye kwa vile hajui chochote bali kibri basi anataka uineshe kila spare iliingia vipi....
mpelekeni shuke ajifunze uongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maduka yale yameajiri watu wengi
spares zinaletwa kutoka japan na Dubai
wamelipa kodi
juzi kuna gari truck limeharibika...spares zake mpaka used shops...tumekwenda bashite kayafunga..mpaka sasa gari halijaondoka
maamuzi ya bashite hapa mjini ni kuumiza wakaazi wa mjini mfano kutofungua biashara jumamosi ..kumeathiri watu wengi sana lakini anataka kuonekana naye kafanya kitu kwa wakazi wa dar...kuwafungia biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemsikia kamanda wa Ilala Hamduni leo Efm polisi hawahusiki na kufunga maduka na amewataka wafungue tena Kaongea na kiongozi wao live awasisitize wafungue waache woga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaumiaje wewe kwa kutaka watu wazidi kuibiwa na watubwanunue vitu vya wizi?

Kazi nzuri sana wanafanya kuvunja ma dili yenu.
 
87% watanzania....tunanunua used parts Za Magari kufungia maduka hayo siyo solution ni kuumizana.....
Kuhusu wezi polisi wanawajua wahalifu wote kuanzia wa Magari,wa ufunguo,majambazi,matapeli etc ....

Ova
 
Mleta mada hatetei wizi wa spea, kinachomkera ni hilu zoezi kuendeshwa kwa nguvu kubwa baada ya watu kuibiwa jwenye msiba wa kiongozi. Mbaya zaidi, huu wizi unajulikana kitambo, na watu wamelalamika na kuibiwa sana ila hakuna hatua mathubuti zilichukuliwa hadi baada ya watu flani kuguswa.

Mamlaka na taasis zitimize wajibu wao bila matabaka na kupendelea.
Nadhani Raia ukiona kuna kero inakusumbua unajiongeza kwa kuhakikisha hiyo kero inamkuta kiongozi ili wakianza kushughulika nawe ufaidi
 
Kwanini duka lifungwe kama una docs zote zinazoonyesha ulipataje mzigo wako!?

Mi ninavyojua wengi wenye haya maduka wananunua spare za wizi kwahiyo hawana nyaraka za kuthibitisha uhalali wa umiliki.
Hao lazima qafungiwe tu maana wizi kwenye magari ulifika pabaya mno.
Muongo
used spare unanua in bulk hai oneshi kitu kimoja kimoja
hivo risiti ni moja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom