Yasikitisha kwa kweli!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
IMG-20170514-WA0015.jpg
 
Kwahio na simu ya babu haipigi haina vocha?
Baadhi ya wakati hujiuliza hivi ukiwa mkubwa kwanini unataka mdogo tu awe mwenye kukusalimia? Nikienda kuwasalimia jamaa zangu utawasikia mbona hunipigii cm? Sasa kama anataka kuongea na mimi kuna kitu gani kinacho mzuwia kunipigia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom