Yas hizi sms zenu za zawadi mnasumbua wateja

Yas hizi sms zenu za zawadi mnasumbua wateja

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,865
Nikiwaletea msg ya tar flan utazawadiwa zawadi....

Badae same day nakuta umepata gb 8 utumie ndan ya siku 30 nikangalia salio nkakuta na gb 1 yangu nilinunua asbh 1.4gb nikahisi labda uchunguzi unaenselea wamekosea kuntumia

Keshoyake kimya nkapiga mchana wakasema wanalifanyia kazi mpaka keshokutwa mpaka.leo wanalifanyia kazii

Mdahuu wamekuja tena na msg zoao za ajabu nimeomba wakome kuntumia hizi msg kabisa kabisa.
Ndugu Mteja, Utastahiki kupokea ofa ya kifaa tarehe 08/09/2025. Hakikisha Yas SIM kadi yako iko kwenye slot ulioweka wakati unanunua kifaa na kuweka salio la Tsh 2,000 au zaidi siku hiyo. Asante kwa kuchagua Yas!

NAWASHAURI SIE WATU WAZIMA MSITUANDIKIE MSG KAMA WATOTO
THX
CC
MENEJA MIX BY YAS
NA WASAIDIZI WAKE
 
Hii mitandao nayo imekuwa na mambo ya hovyo kama makada wa CCM
 
Back
Top Bottom