Yard/patrol station/kiwanda /hotel

Yard/patrol station/kiwanda /hotel

Disailly

Senior Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
130
Reaction score
13
Mkoa wa Pwani, wilaya ya kibaha inakuwa kwa kasi ya ajabu, maendeleo yanaongezeka kiwanja kinauzwa kinafaa kwa matumizi yafuatayo; Kujenga Petrol Station, Kujenga Yard ya Magari makubwa, Kujenga yard ya kuuzia magari, Kujenga Hotel pia kujenga Kiwanda. Kiwanja kipo eneo la Miembesaba na Kongowe pembeni ya barabara kuu ya Morogoro na nyuma yake kuna barabara ya zamani ya morogoro na kulia kwake kuna barabara ya kwenda chuo cha Veta-Pwani ukubwa ni hekari tatu. Kwa taarifa zaidi wasiliana kwa 0754 286329/0714973871 BEI NI TSH 180,000,000/=
 
Back
Top Bottom