King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,891
- 95,183
Hayo Maneno nimeyatoa kwenye Ms Word Ukiandika hayo maneno na Uka-change Font(Siikumbuki) ndio hizo alama zinatokea
Mine:
*Kwenye Sisiemu hakuna alama ya kile wanachokisimamia yani Jembe na Nyundo kama ilivyo kwa CDM peace Sign
*Tanzania na cmd zinaishia na Peace sign(Alama ya cdm) that means 2015 cdm itashika nchi