yapi mazuri na mapungufu ya bb torch 9800?

yapi mazuri na mapungufu ya bb torch 9800?

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,929
habari za asubuhi.Wapendwa nataka kuchukua bb torch 9800 na nimeangalia gsm arena nimeona ina os ya 6,hii os imenishtua ya kwamba huenda ikagoma kupokea baadhi ya applications za bb app market,naomba mnijuze kunitoa huu utata.Ahsanteni
 
waungwana mbona kimya?naomben ushauri wenu nisijenunua hii simu kisha nikajutia ikawa haipokei tena applications
 
Back
Top Bottom