Yapasa mke awe 'submissive' vinginevyo hakuna ndoa

Hata akipigwa hana budi kuwa submissive.

Nilichojifunza ni kuwa, kama ambavyo upendo wa mme kwa mkewe unainduce submissive kutoka kwa mke, vivyo hivyo mke mnyenyekevu/mtii anamfanya mme ampende zaidi.Hata kama mme ni mkorofi, mkewe akimtii na kumnyenyekea baada ya mda mme atabadilika na kumpenda.

Pia hii reference ya kumpenda mke kama Yesu alivyolipenda kanisa, ukitafakari vitu alivyofanyiwa Yesu na bado akaendelea kutupenda, utaona kuwa hata mke awe wa ajabu kiasi gani tunapaswa kumpenda na kuwa tayari kufa kwa ajili yake ikibidi...
Nilikwambia inategemea sana na hekima ya mkeo, sio kila mwanamke atakuruhusu umpige "bila sababu maaalum" afu bado aendelee kukuheshimu. Kwanza mume umeambiwa mke ni mwili wako, ni mwanaume gani anayeuumiza mwili wake kwa makofi, ngumu au fimbo?

Kuna mke atakayeendelea kusubmit akiamini ipo siku mumewe atakuja kubadilika, akauona wema wa mkewe akaacha kumtenda vibaya, and this happens kwa baadhi ya watu . Ila ndugu, mke mwingine anaweza akavumilia weee siku akikuchoka mpige ngumi tu, akufyatue kiuno na stuli. Submission kwa mtu anayekutenda vibaya, inaweza kuwa na expire date, teh na usiombe mke mwema akakuchoka.

Em treat her like your own body and see the results, mruhusu mkeo akienda mbele za Mungu aende kwa moyo uliojawa na furaha, akimshukuru Mungu kwa ajili yako, Mtabarikiwa zaidi. Sio kila siku mke ni kwenda mbele za Mungu, kwa moyo wenye sonono na uchungu, haimpendezi Mungu. Above all, baraka zako zimefungamanishwa na mkeo, if you want to be blessed, that's one of the codes.
 
Nilikwambia inategemea sana na hekima ya mkeo, sio kila mwanamke atakuruhusu umpige "bila sababu maaalum" afu bado aendelee kukuheshimu. Kwanza mume umeambiwa mke ni mwili wako, ni mwanaume gani anayeuumiza mwili wake kwa makofi, ngumu au fimbo?

Kuna mke atakayeendelea kusubmit akiamini ipo siku mumewe atakuja kubadilika, akauona wema wa mkewe akaacha kumtenda vibaya, and this happens kwa baadhi ya watu . Ila ndugu, mke mwingine anaweza akavumilia weee siku akikuchoka mpige ngumi tu, akufyatue kiuno na stuli, submission kwa mtu anayekutenda vibaya, inaweza kuwa na expire date, teh na usiombe mke mwema akakuchoka.

Em treat her like your own body and see the results, mruhusu mkeo akienda mbele za Mungu aende kwa moyo uliojawa na furaha, akimshukuru Mungu kwa ajili yako, Mtabarikiwa zaidi. Sio kila siku mke ni kwenda mbele za Mungu, kwa moyo wenye sonono na uchungu, haimpendezi Mungu. Above all, baraka zako zimefungamanishwa na mkeo, if you want to be blessed, that's one of the codes.

Hakuna sababu inayohalalisha mwenzi kumpiga mwenzake.

Mimi sisupport kumpiga au kumuumiza mke kwa namna yoyote.Point yangu ililenga kusema kuwa, kwa mujibu wa reference mbili;Kupenda kama Yesu alivyolipenda kanisa na kutii kama kumtii Bwana, basi upendo au utii hautakiwi kuendeshwa(au kubadilishwa) na tabia ya mwenzi wako.Kama unamtii Bwana, hata kama mmeo kakupiga unapaswa kuendelea kumtii mumeo kama unavyomtii Bwana.Vivyo hivyo kwa wanaume.
 
Katika miaka ya karibuni kumekuwa na upungufu mkubwa wa wanawake wazuri. Kwa sura, shape au mwonekano hasa mijini.

Pengine hii inatokana na mabadiliko ya tabia ya nchi na ukweli kwamba watu siku hizi hawapati lishe bora kama walivyopata wazee wetu.

Kupungua kwa idadi ya wanawake wazuri hasa katika jiji la Dar Es Salaam kumeendana pia na ongezeko la wanawake wenye viburi, lugha mbaya, wabishi, wagomvi na kwa ujumla washamba wa mahba.

Lugha mbaya inamfukuza mume nyumbani. Kiburi kinamkosesha mke zawadi. Gubu linamfanya mume ajifunze kwenda baa hata kama hiyo sio style yake.

Tabia ya kumchunga sana mumeo na kushindana nae kila mara huichimbia ndoa kaburini kama unaitaka ndoa yako basi usimjibu vibaya mumeo hasa mbele za watu na hasa rafiki zake.

Mpokee mumeo akirudi kazini hata kama umetingwa kiasi gani. Usimtume house girl kumpokea mzigo mumeo. Ni kosa la kiufundi.

Mwite mumeo kwa jina lake la kwanza. Usimwite 'wee' au 'huyu'... Sio sahiii. Na mume vilevile usimwite mkeo wewe au huyu!!

Ndoa inastawi au kubomoka kwa vitu vidogo sana. Yanasema maandiko kwa mujibu wa Paulo: "Enyi wake watiini waume zenu. Nanyi wanaume wapendeni wake zenu"

Kuna amri kuu mbili za kuzingatia ili ndoa idumu.
Kwanza, ni lazima mke amheshimu na kumtii mumewe.

Pili ni wajibu wa mume kumtunza na kumthamini mkewe kwa kila hali. NB: kulingana na uwezo wa mwanaume husika ni busara pia kwa mwanamke kuridhika na hali ya kiuchumi ya mumewe.

Mke akiwa na tamaa ni chanzo cha mifarakano katika ndoa. Kama huwezi kuvumilia hali yake ni bora muachane kuliko kumpa stress kila siku kaka wa watu.

Najua siku hizi wanawake wengi wana vipato vikubwa na wengine hiyo huwa sababu ya kuwadharau au kutaka kushindana na waume zao ukweli mchungu ni kwamba kama unataka ndoa lazima uwe submissive kwa mumeo.

Kama kipato kinawazuzua na mnaona hamuwezi kumtii mume ni bora akina dada wa aina hii waishi peke yao.
duuh
 
Hivyo ndivyo ilivyotakiwa, ila ndo hivyo tena sio kila mtu ana hekima ya kuenenda hivyo....... So tusaidiane tu kutendeana mema ili angalau tusimpe shetani nafasi
Hakuna sababu inayohalalisha mwenzi kumpiga mwenzake.

Mimi sisupport kumpiga au kumuumiza mke kwa namna yoyote.Point yangu ililenga kusema kuwa, kwa mujibu wa reference mbili;Kupenda kama Yesu alivyolipenda kanisa na kutii kama kumtii Bwana, basi upendo au utii hautakiwi kuendeshwa(au kubadilishwa) na tabia ya mwenzi wako.Kama unamtii Bwana, hata kama mmeo kakupiga unapaswa kuendelea kumtii mumeo wako kama unavyomtii Bwana.Vivyo hivyo kwa wanaume.
 
Katika miaka ya karibuni kumekuwa na upungufu mkubwa wa wanawake wazuri. Kwa sura, shape au mwonekano hasa mijini.

Pengine hii inatokana na mabadiliko ya tabia ya nchi na ukweli kwamba watu siku hizi hawapati lishe bora kama walivyopata wazee wetu.

Kupungua kwa idadi ya wanawake wazuri hasa katika jiji la Dar Es Salaam kumeendana pia na ongezeko la wanawake wenye viburi, lugha mbaya, wabishi, wagomvi na kwa ujumla washamba wa mahba.

Lugha mbaya inamfukuza mume nyumbani. Kiburi kinamkosesha mke zawadi. Gubu linamfanya mume ajifunze kwenda baa hata kama hiyo sio style yake.

Tabia ya kumchunga sana mumeo na kushindana nae kila mara huichimbia ndoa kaburini kama unaitaka ndoa yako basi usimjibu vibaya mumeo hasa mbele za watu na hasa rafiki zake.

Mpokee mumeo akirudi kazini hata kama umetingwa kiasi gani. Usimtume house girl kumpokea mzigo mumeo. Ni kosa la kiufundi.

Mwite mumeo kwa jina lake la kwanza. Usimwite 'wee' au 'huyu'... Sio sahiii. Na mume vilevile usimwite mkeo wewe au huyu!!

Ndoa inastawi au kubomoka kwa vitu vidogo sana. Yanasema maandiko kwa mujibu wa Paulo: "Enyi wake watiini waume zenu. Nanyi wanaume wapendeni wake zenu"

Kuna amri kuu mbili za kuzingatia ili ndoa idumu.
Kwanza, ni lazima mke amheshimu na kumtii mumewe.

Pili ni wajibu wa mume kumtunza na kumthamini mkewe kwa kila hali. NB: kulingana na uwezo wa mwanaume husika ni busara pia kwa mwanamke kuridhika na hali ya kiuchumi ya mumewe.

Mke akiwa na tamaa ni chanzo cha mifarakano katika ndoa. Kama huwezi kuvumilia hali yake ni bora muachane kuliko kumpa stress kila siku kaka wa watu.

Najua siku hizi wanawake wengi wana vipato vikubwa na wengine hiyo huwa sababu ya kuwadharau au kutaka kushindana na waume zao ukweli mchungu ni kwamba kama unataka ndoa lazima uwe submissive kwa mumeo.

Kama kipato kinawazuzua na mnaona hamuwezi kumtii mume ni bora akina dada wa aina hii waishi peke yao.
Uko vizuri sana..
 
Naunga mkono hoja,baadhi ya wanawake unakuta wanataka kuwa juu na inamhitaji mwanaume mwenye hekima kujishusha kwa kujali ndoa yake
 
ukweli mtupuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom