Yani me mawazo yangu yako jeshini tu!

inanekana kaka ww ni mwoga wa maisha,si lolote si chochote.jeshi linahitaji mtu jasiri na si mtu aliyekosa pa kwenda! Umeonyesha hofu na woga kwa adui maisha usiemwona je utaweza kukabiliana na ma-alshab ww? Take your sense and rethink.join the army coz you were born a worrior not coz u dont have the place to go! Utafia depo kwa risasi iliyofyatuka toka kwnye bunduki yako mwenye
 
Ajira za jeshi ni nyingi duniani.
unaweza kupata enlistment ktk jeshi la UK,commonwealth citizen unakuwa enlisted umri chini ya miaka 28. ila utaanza kama private then baadaye ukibahatika unaweza kupata commision na kwenda sundhurst
2-Jeshi la ufaransa wanaajiri pia ktk French Foreign Legion ,umri usizidi 40yrs.siyo lazima utumie jina lako halisi,kunakitu wanakiita Assumed Identity.masharti makubwa ni kuwa unatumikia kwa miaka 5 minimum,halafu unaruhusiwa kuoa ,kununua gari/nyumba etc.hawa jamaa ni watu wa vita/military campaigns almost kila mwaka.
-

vigezo vya majeshi niliyotaja hapo juu ni

-uweze kukimbia 2km ktk dakika 13
-uwezo wa kubeba 45kg
- Akili timamu
-unaweza kusoma na kuandika
-unafundishika
-----French legion-er siyo lazima ujue kifaransa or kingereza,hata kama unaongea kimatumbi watakuchukua wakiridhika alafu unapigwa darasa la kifaransa

Wadau,naomben mnishauri labda mnaweza kunibadili mawazo yangu.me ni mwanafunzi wa chuo kikuu flani hapa Dsm,niko mwaka wa 3 nachukua bcom-finance,tatizo langu me nimeplan cku nkimalza chuo,ctaki kuhangaika kuomba kazi na kuzunguka na mabahasha kwenye makampuni ya watu coz hata sehemu ya kufanyia fild ilinsumbua kupata hadi dakika za mwisho ndo nkaiotea moja kwenye saccos flan hvi huko mkoani kwa hyo najua kwenye ajira ndo itakua tabu balaa na ukzngatia cna hata mtu wa kunishika mkono ndo nachoka kabisaa,so nimepanga nkimalza tu najiunga na jeshi la wananchi wa tz{jwtz},vp wakuu hli wazo langu liko sahihi au ndo ntakua nimepoteza dira mazima??naomben mnishauri vyema sababu naichukulia jf kama mzazi wangu hvo mawazo yenu ndo mafanikio yangu wakuu.
 
Ajira za jeshi ni nyingi duniani.
unaweza kupata enlistment ktk jeshi la UK,commonwealth citizen unakuwa enlisted umri chini ya miaka 28. ila utaanza kama private then baadaye ukibahatika unaweza kupata commision na kwenda sundhurst
2-Jeshi la ufaransa wanaajiri pia ktk French Foreign Legion ,umri usizidi 40yrs.siyo lazima utumie jina lako halisi,kunakitu wanakiita Assumed Identity.masharti makubwa ni kuwa unatumikia kwa miaka 5 minimum,halafu unaruhusiwa kuoa ,kununua gari/nyumba etc.hawa jamaa ni watu wa vita/military campaigns almost kila mwaka.
-

vigezo vya majeshi niliyotaja hapo juu ni

-uweze kukimbia 2km ktk dakika 13
-uwezo wa kubeba 45kg
- Akili timamu
-unaweza kusoma na kuandika
-unafundishika
-----French legion-er siyo lazima ujue kifaransa or kingereza,hata kama unaongea kimatumbi watakuchukua wakiridhika alafu unapigwa darasa la kifaransa

na hzo mishe zao huwa zinafanykia wap?
 
Ukiwa tayari ni pm.ntakupa ramani nzima.kwanza kapime afya yako.uwe na uwezo wa kukimbia at least km tatu witin 18mins then tafuta nauli ya kufika ufaransa na gharama viza na malazi ya siku mbili
 
Kumbuka kuwa ufaransa ndie aloshika tender zote za kulisha ktk hzo mission.
1.Darfur
2.Somali
3.afghan
4.lebanon na kwingineko
 
Ukiwa tayari ni pm.ntakupa ramani nzima.kwanza kapime afya yako.uwe na uwezo wa kukimbia at least km tatu witin 18mins then tafuta nauli ya kufika ufaransa na gharama viza na malazi ya siku mbili

duh! na vitambi vyetu hivi..
 
jeshini ndio pa kukimbilia?jipange upya kijana,hiyo sio kazi ya kulamba stamp
 
Back
Top Bottom