umefika zako dukani unataka kununua kondomu za kwenda kuchakachulia kwingineko ile unaanza kusema: Muuzaji naomba unipatie ko........! Unageuka nyuma unakutana uso
kwa macho na mama watoto wako. Hii sentensi yako uliyokwisha ianzisha utaimalizia vipi ili kuepusha shari na amani iendelee kutamalaki ndani ya nyumba?