Yanga yazidi kung'ara:

Yanga yazidi kung'ara:

MTUNZA AMANI

Senior Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
187
Reaction score
21
Yanga imezidi kuwaonesha watanzania kuwa haibahatishi ushindi wake baada ya kuwachapa Africa lyion Bao nne (4) kwa sifuri, imewafurahisha mashabiki wake kwa ushindi huo mzuri kabisa, kwa mujibu huu inatoa ujumbe kwa wale atakaokutana nao msimu huu kuwa wajiande vilivyo.
 
Zawadi tosha ya Eid,hii ndo team ya kuishabikia kwa mwaka huu
 
Hiyo ndio Young African,ebwana nipe majina ya wafungaji
 
Huyo Dogo "Msuva" ni balaa......Ngassa tupa kule
 
Duuu kuna fitna za league jamani mbona bado sana kuanza kusijisifia kwa team mbovu iliyopona kushuka daraja??tusubiri waanze league ndio tutasema zaidi kuhusu usajili!!
 
Lakin mbona mechi na leopards,coastal union zimeota mbawa vipi..au lyon ndo alionekana mzur kuuzia sura?
 
Lakin mbona mechi na leopards,coastal union zimeota mbawa vipi..au lyon ndo alionekana mzur kuuzia sura?

vhayo mambo ya yanga bana ndo unajua kuhoji,. Kwanini hauoji zile rambirambi za mafisango khs uwanja wa simba au ndo mnamuheshimu maharage
 
penart3 goal2 rekodi ya dunia
Zile penati zilitokana na pressure ya mashambulizi. Penati haiwezi kutolewa katikati ya uwanja, lazima iwe kwenye 18 ya waliofanya faulo. Sasa Okwi anamlamba kipa chenga, baada ya hapo lango linakuwa wazi, kama hawezi kufunga kwa nini kipa wa Yanga anamdaka mguu kumzuia? Kama mshambuliaji hana madhara yoyote, kwa nini umfanyie faulo, au ndio ujinga wa mabeki na golikipa wa Yanga? Tukiongea uhalisi wa mchezo, haikutakiwa penati tatu pekee, bali pia na kadi nyekundu kwa Nsajigwa na golikipa, ila refa aliona 5-0 ni nyingi mno, zingefika 7-0 kama angeitendea haki Simba

 
Hiyo fifa yako labda,.. Hatuwez piga kelele na mabingwa wa kombe la njiwa na bata na kuku,. C hadhi yetu ukikusanya nchi13 ndo utuite tushiriki hapo ndo utaijua rangi na hadhi ya yanga
 
Sasa hi I wanaisifia Simba B. We uliona wapi timu ya pili inasifiwa ubora kuliko timu ya kwanza? Kweli watani hawa ni mabingwa WA reverse.
 
Back
Top Bottom