Yanga yazidi kung'ara:

Lakin mbona mechi na leopards,coastal union zimeota mbawa vipi..au lyon ndo alionekana mzur kuuzia sura?

Unajua sasa hv kila team(except Simba) inatamani icheze na Yanga,yaani sasa hv Yanga imekuwa kama Barcelona team zinataka kucheza nayo ili zitengeneze CV zao,sasa sisi tulikuwa tunawasikilizia tu wagombaniee atakayeshinda ndo tukipige naye,bahati nzuri akashinda Africa Lyon tukamtandika hivyohivyo angeshinda Coastal au AFC Leopards vipigo vingekuwa palepale,Yanga ya mwaka huu hatari wewe
 
vhayo mambo ya yanga bana ndo unajua kuhoji,. Kwanini hauoji zile rambirambi za mafisango khs uwanja wa simba au ndo mnamuheshimu maharage
heeee ishakuwa hayo....me nilikuwa nauliza tuu..nilidhani swali langu litapata ufumbuz...haya me napita
 
Zile penati zilitokana na pressure ya mashambulizi. Penati haiwezi kutolewa katikati ya uwanja, lazima iwe kwenye 18 ya waliofanya faulo. Sasa Okwi anamlamba kipa chenga, baada ya hapo lango linakuwa wazi, kama hawezi kufunga kwa nini kipa wa Yanga anamdaka mguu kumzuia? Kama mshambuliaji hana madhara yoyote, kwa nini umfanyie faulo, au ndio ujinga wa mabeki na golikipa wa Yanga? Tukiongea uhalisi wa mchezo, haikutakiwa penati tatu pekee, bali pia na kadi nyekundu kwa Nsajigwa na golikipa, ila refa aliona 5-0 ni nyingi mno, zingefika 7-0 kama angeitendea haki Simba


Kwahiyo Yanga inatakiwa iingie kwenye records za maajabu ya Dunia katika kitabu cha Guiness kwa kucheza faulo nyingi kuliko Club nyingine yeyote hapa Duniani,ksbb ktk kumbukumbu zangu sikumbuki kuona team inapewa penalt 3 katika mchezo mmoja,tena mchezo mkubwa wa team pinzani za jadi,au nikumbushe ni mechi gani?
 
Achen maneno ni mapema sana usajiri bado unaendelea na club zote bado zinano vikosi (siasa ya ccccccm imewathiri mashabiki wa yanga badilikeni mpira sio siasa ni vitendo(my take mmeanza vizuri mtapoteana kulingana na siasa zenu mbovu nje na ndani ya uwanja
 
Back
Top Bottom