Yanga yawasiliana na Gor Mahia kuhusu Aussems

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
18,511
68,149
Kwa mujibu wa mtandao wa Goal.com klabu ya Yanga imewasiliana na timu ya AFC Leopards ya Kenya kuangalia uwezekano wa kumchukua kocha Patrick Aussems aliewahi kuifundisha Simba SC.

Hata hivyo klabu ya Kenya imegoma kuikubalia Yanga kumchukua kocha wao mwenye mkataba wa miezi sita, taarifa zinaeleza zaidi Yanga wameahidi kurejea tena AFC Leopards na ofa kubwa zaidi ili kumpata kocha huyo.
 
Mkuu una uhakika kocha wa girmahia n Patrick aussems?

Naona uanadanya watu kupitia mtandao wa goal.com kuhalalisha uwongo wako

Hebu fuatilia vizur habar yako Patrick n kocha wa fc leopard na s gormahia

Usiwamezeshe sumu wenye mtandao wa goal.com ukiambiwa ulete ushahid utaanza kulia Lia
 
Utelembwe wengi wana mtindio wa ubongo
 
Mkuu una uhakika kocha wa girmahia n Patrick aussems?

Naona uanadanya watu kupitia mtandao wa goal.com kuhalalisha uwongo wako

Hebu fuatilia vizur habar yako Patrick n kocha wa fc leopard na s gormahia

Usiwamezeshe sumu wenye mtandao wa goal.com ukiambiwa ulete ushahid utaanza kulia Lia
Una mikelele, unaonekana una maisha ya stress sana.

Goal.com wako sahihi.

Mimi ndio nilichanganya majina ya hizo timu mbili, na sioni kosa kubwa hapo, tafuta namna upunguze stress zako uishi kwa amani usije kujinyonga.

Ni issue ndogo ya Mods tu wabadilishe pale juu badala ya Gor Mahia waweke AFC Leopards, while all the rest remain the same.
 
Mikia akili yenu mbovu Yanga wanatafuta kocha nini kinawauma kuweka comments zenu humi jambo haliwahusu kazi yenu ni kurukia jambo lisilowahusu kama haji
 
Yanga wahuni tu.

Wakifungwa mechi moja tu na Simba atafukuzwa na kusimangwa kwamba ni mwanachama wa Simba.

Kumbukeni Senzo ndiye alimkataa na kumpendekeza Kishingo.Kama hamkumuuliza Senzo mjue atakuwa wa kwanza kumwaga sumu dhidi ya uchebe.

Mnaiga Simba ila mna wanachama mazombie sana ila yakisema uzushi wowote viongozi nao kama walivyo wanachama mnachukua hatua

Back
Top Bottom