Mabingwa wa Soka Tanzania Bara, Yanga wametua salama jijini hapa.
Lakini uwanjani hapo kukawa na tafrani kubwa kwa kuwa waandishi walitaka wazungumze. Hakuna mchezaji hata mmoja wa Yanga aliyezungumza.
Badala yake walipanda kwenye basi walilokuwa wamekusudia na kuondoka uwanjani hapo.
Waandishi hao walitumia muda mwingi kuwapiga picha na kulipiga picha basi hilo.
Goli moja si kitu. Subiri hiyo Jumapili, utaona jinsi Yanga kkwatakavyoendeleza kichapo toka kwa waarab na watarudi na visingizo kibaoooooo. Oh tulilaliwa, mara refa alikuwa hivi, sijuwi tulikuwa tunaharisha, mara dengu walizotupa zilikuwa na mchanga. I hope walisafiri na vyakula pamoja na maji yao maana tumechoka visingizio vya kijinga. Kumbukeni, uchawi ni hapa hapa Tanzania tu nje ya nchi hauna ishu. Tunasubiri mapigo ya 7 - 0 kutoka kwa kwa watoto wa Pharoah. Toka lini Yanga ikawa na ubabe kwa waarab, wao wamezoea uteja tu kila kukicha.
Hata kocha wa simba nan vile anataman sana kupiga picha na huyo kijana.lazima tuwauwe hawa waarambu na kukata ngebe za jamaa wanaoshikilia nafasi ya nne kwenye ligi kuu
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara, Yanga wametua salama jijini hapa.
Lakini uwanjani hapo kukawa na tafrani kubwa kwa kuwa waandishi walitaka wazungumze. Hakuna mchezaji hata mmoja wa Yanga aliyezungumza.
Badala yake walipanda kwenye basi walilokuwa wamekusudia na kuondoka uwanjani hapo.
Waandishi hao walitumia muda mwingi kuwapiga picha na kulipiga picha basi hilo.
Nenda zako bunju kafyeke uwanja wenu siku zinaenda shaurizenu.