Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,548 Reaction score 860,682 Apr 18, 2014 Thread starter #21 cnjona said: Mleta mada ulipost hii thread bila kufikiri vizuri,..........Hivi timu zote 14 zilikuwa zinatafuta nini katika ligi hii?..kwanini uione yanga tu ndo kakosa ubingwa?.je,walioathirika na mvua ni yanga peke yao?.maeneo haya wanaishi yanga tu? Click to expand... Umemalizaaa ? Je ni timu ngapi zinataka kujenga uwanja wa kisasa jangwani ? Je ni timu gani zina mashauzi hadi inakera kama yanga ?
cnjona said: Mleta mada ulipost hii thread bila kufikiri vizuri,..........Hivi timu zote 14 zilikuwa zinatafuta nini katika ligi hii?..kwanini uione yanga tu ndo kakosa ubingwa?.je,walioathirika na mvua ni yanga peke yao?.maeneo haya wanaishi yanga tu? Click to expand... Umemalizaaa ? Je ni timu ngapi zinataka kujenga uwanja wa kisasa jangwani ? Je ni timu gani zina mashauzi hadi inakera kama yanga ?