Kama Mamadou Doumbia ataachwa, litakuwa ni jambo jema. Maana kwa aina ya ligi yetu, angekuwa tu uchochoro kutokana na kukosa kwake spidi ya kukimbizama na washambuliaji hatari.
Viongozi wakubali tu kuingia hasara kama walivyofanya kwa Gael Birimana, baada ya kuingia cha kike.