Yanga yaongezewa kiwanja na manispaa ya Ilala

MKALIKENYA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,196
Reaction score
486
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mecky Sadick jana akiongea na TBC amesema wameishakubali ombi la Yanga na mkurugenzi wa manispaa ya ilala yupo katika hatua za mwisho za kuwaandikia barua club ya Yanga kuwakubalia ombi lao la kuongezwa kiwanja.

Mkuu huyo wa mkoa alisema Yanga wanachotakiwa kufanya ni kufata masharti ya NEMC kwa kujenga uwanja wao kufuatana na ramani waliowasilisha inayoonesha kujali hali ya mazingira na pia wametakiwa wao wenyewe wachukue hatua ya kuwaondoa waliovamia eneo lao na kujenga sababu imegundulika hawana hati za kumiliki viwanja hivyo.

MY TAKE

Huu ni uamuzi mzuri kwa maendeleo ya soka letu na ustawi wa jiji la dar es salaam, kuliko lile eneo kubaki kuwa mazalia ya mbu na sehemu ya mafuriko ni bora liendelezwe kisasa na nchi ipate uwanja mwingine wa kisasa ambao utatuwezesha hapo baadae kupata nafasi ya kuandaa mashindano makubwa kama AFCON na baadae ata World Cup.
 
Haya ni mafanikio ya utawala mahiri wa JK. Marais wote waliopita walishindwa kuipatia klabu pendwa kiwanja. Bravo JK!
cc FF
 
Hapo JK amewapaje yanga kiwanja? Hili lilikuwa suala la kufuata taratibu husika sasa apo ni kazi ya uongozi kuanza taratibu za ujenzi
 
Kila kitu kizuri nchi hii ni kwa sababu ya JK! Kibaya ni kwa sababu ya Slaa et al.
 
Hongereni Yanga. Muujenge sasa huo uwanja wa kisasa tuuone. Msije mkaishia kujenga vi fremu vya biashara tu.
 
Kimsingi, Mkuu wa Mkoa amemuongezea kiwanja mzee Juma Mwambelo. Ikumbukwe kwamba mzee huyo ndio mmiliki halali wa Yanga na ndiye mwenye hati ya jengo la Yanga na eneo lote la kiwanja cha Kaunda pamoja na jengo lililopo mtaa wa Mafia!
 
Mkuu umesahau kwamba Yanga ni sports club. Yanga ni mali ya public. Siku zote aldhi ni mali ya serikali. Na serikali huwa inafuata public interest. Kama maendeleo yanayotaka kufanywa na Yanga ni kwa manufaa ya wengi/public,serikali siku zote ita support public interests. Huyo mzee anaota mchana!
 
Kimsingi, Mkuu wa Mkoa amemuongezea kiwanja mzee Juma Mwambelo. Ikumbukwe kwamba mzee huyo ndio mmiliki halali wa Yanga na ndiye mwenye hati ya jengo la Yanga na eneo lote la kiwanja cha Kaunda pamoja na jengo lililopo mtaa wa Mafia!
Nikiokota hati yako ya kuzaliwa na kubaki nayo, mimi nitakuwa ndiye wewe?
 
hapa naona sio sahihi.Uwanja ukijengwa pale je utakuwepo na parking za kutosha ni kwa nini serikali haioni mbali kwa kutoa kibali huo uwanja ukajengwa mbali na mji kama vile kule kiluvya au mbweni ili mji uweze kupanuka na pia kuongeza kazi ya ukuaji wa jiji na kupunguza foleni hapa mjini kuliko kuweka huduma zote sehemu moja kama walivyofanya kwa uwanja wa zamani wa taifa hapo hapo wamejenga uwanja mwingine mpya vitu kama hivi ndo vinasababisha mtu akitoka kimara au mbezi kufika posta anachukua masaa matatu ambayo ni sawa na mtu ametoka moro hadi dar anatumia the same hours for 189 kilometa while wa bunju au kimara wa kilometa 23 anatumia masaa hayo kufika town.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mecky Sadick jana akiongea na TBC amesema wameishakubali ombi la Yanga na mkurugenzi wa manispaa ya ilala yupo katika hatua za mwisho za kuwaandikia barua club ya Yanga kuwakubalia ombi lao la kuongezwa kiwanja.

Mkuu huyo wa mkoa alisema Yanga wanachotakiwa kufanya ni kufata masharti ya NEMC kwa kujenga uwanja wao kufuatana na ramani waliowasilisha inayoonesha kujali hali ya mazingira na pia wametakiwa wao wenyewe wachukue hatua ya kuwaondoa waliovamia eneo lao na kujenga sababu imegundulika hawana hati za kumiliki viwanja hivyo.

MY TAKE

Huu ni uamuzi mzuri kwa maendeleo ya soka letu na ustawi wa jiji la dar es salaam, kuliko lile eneo kubaki kuwa mazalia ya mbu na sehemu ya mafuriko ni bora liendelezwe kisasa na nchi ipate uwanja mwingine wa kisasa ambao utatuwezesha hapo baadae kupata nafasi ya kuandaa mashindano makubwa kama AFCON na baadae ata World Cup.
 
hapa naona sio sahihi.Uwanja ukijengwa pale je utakuwepo na parking za kutosha ni kwa nini serikali haioni mbali kwa kutoa kibali huo uwanja ukajengwa mbali na mji kama vile kule kiluvya au mbweni ili mji uweze kupanuka na pia kuongeza kazi ya ukuaji wa jiji na kupunguza foleni hapa mjini kuliko kuweka huduma zote sehemu moja kama walivyofanya kwa uwanja wa zamani wa taifa hapo hapo wamejenga uwanja mwingine mpya vitu kama hivi ndo vinasababisha mtu akitoka kimara au mbezi kufika posta anachukua masaa matatu ambayo ni sawa na mtu ametoka moro hadi dar anatumia the same hours for 189 kilometa while wa bunju au kimara wa kilometa 23 anatumia masaa hayo kufika town.

Jiulize kwa nini viongozi wa Serikali wamegoma kuhamia Dodoma.Hadi Leo Posta ofisi mpya za serikali zinajengwa
 
hongereni watani, mjenge sasa tuje tuwachape hapo hapo kwenu
 
hapa naona sio sahihi.Uwanja ukijengwa pale je utakuwepo na parking za kutosha ni kwa nini serikali haioni mbali kwa kutoa kibali huo uwanja ukajengwa mbali na mji kama vile kule kiluvya au mbweni ili mji uweze kupanuka na pia kuongeza kazi ya ukuaji wa jiji na kupunguza foleni hapa mjini kuliko kuweka huduma zote sehemu moja kama walivyofanya kwa uwanja wa zamani wa taifa hapo hapo wamejenga uwanja mwingine mpya vitu kama hivi ndo vinasababisha mtu akitoka kimara au mbezi kufika posta anachukua masaa matatu ambayo ni sawa na mtu ametoka moro hadi dar anatumia the same hours for 189 kilometa while wa bunju au kimara wa kilometa 23 anatumia masaa hayo kufika town.

Mambo ya kizamani kwenda na gari lako uwanjani. Pale uwanja wa Kaunda uafir wa umma kibao na timuhii kongwe ina bahati ya mtende kuwa na uwanja mjini-kati uwanja unaweza pia kutumika kwa shughuli kama matamasha n.k kutunisha mfuko wa pesa wa klabu.

Bahati timu yetu ya Azam FC na uwanja wake wa Chamazi Complex una udhamini wa kampuni-mama kubwa sasa Yanga waache visingizio uwanja wa Kaunda ujenzi uanze mara moja.
 
Mbona kama siamini. Hii habari imekuja kwa ukamilifu wake kweli? Mbona kama ndani yake kuna 'masharti' fulani hivi?
 
Manjiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!
Ahahahahahahahahahahahahahahaha!!Ahahahahahahahahahahahahahahaha!!
Ahahahahahahahahahahahahahahaha!!
Rizimokoooooooooo!!!!!
Ahahahahahahahahahahahahahahaha!!
Ahahahahahahahahahahahahahahaha!!
Ccmmmmmmmm!!!!
Ahahahahahahahahahahahahahahaha!!
Ahahahahahahahahahahahahahahaha!!
Ahahahahahahahahahahahahahahaha!!
 
ile michoro ya 'uwanja wao wa uturuki' bado wanayo????...teh teh..AZAM FC ndiyo mpango mzima..hawa wengine wajifunze funze
 
hakuna wa kujenga uwanja hapo wazee wa mafuriko
 
Back
Top Bottom