ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Yanga kama mbabe wa mpira wa Tanzania imedhamiria Kwa dhati kusafisha pale TFF na bodi ya ligi, Sasa nguvu time imehamia Kwa Wallace Karia
CEO wa Yanga Andre Mtine ameandika barua kwenda kamati ya uchaguzi TFF kumwekea pingamizi Wallace Karia
Yanga wameitaka kamati ya uchaguzi TFF kumwondosha Rais Wallace Karia katika mchakato wa uchaguzi wakiwa na hoja kuu 3
1. Matumizi mabaya ya madaraka Kwa kuchukua endorsement 46 kati ya 47.
Sifa ya kukidhinkugombea Urais ni kupata endorsement 5 tu ila Karia amejisanyia endorsement 46 kati ya 47, akijua wazi kufanya hivo ni kuhujumu mchakato wa uchaguzi, maana wagombea wengine watakwama Kwa kukosa endorsement
2 Kuanza kampeni kabla ya wakati.
Karia amekusanya endorsement 46 kabla ya mchakato hii ni dhahiri alizikusanya mapema kabla ya kipenga cha uchaguzi kupulizwa
3 Karia hapaswi kugombea mihula wa mitatu 3
Sera ya michezo nchini imakataza viongozi kukaa madarakani zaidi mihula miwili