Yanga yamnasa dilunga

Yanga yamnasa dilunga

Mbali na mie kuwa mshabiki wa simba..bado kuna kitu nakipinga na hasa kinachofanywa na mtani wangu wa jadi yanga...yanga wanasajili wachezaji kama kuzuia wasiende timu pinzani..sio mbaya pia ila kwa nchi yetu yenye mashindano mawili tuu..ligi kuu na michuano ya klabu ya cecafa..hao wachezaji wanne kila namba moja utawatumia wapi?...kumsajili mchezaji na kumuweka benchi hata kama unamlipa mabilioni kwa wiki ni kuuwa kipaji chake..mtani jirekebishe..una makipa 4 una viungo kama 6 bado unasajili vijana unawamaliza kisoka...ni maoni tuuu tena ya ki-uana michezo uliotukuka..

Timu inatakiwa iwe na wachezaji wengi (squad depth) ili ikitokea majeruhi timu isitetereke Bayern Munich wana viungo Kroos,Alcantara,Ribery,Roben,Martinez,Bastian,Gotze,Shaqiri mfano Gotze,Martinez na Thiago waliumumia lakini timu haijaathirika na kutokuwepo kwao.Mfano Simba walivyoumia Tambwe na Kaze Kibadeni akaanza kutoa visingizio
Tatizo kubwa la wachezaji wa Kitanzania wengi hawajitumi ndio maana ni vigumu sana Twite,Niyonzima,Kavumbangu au Kiiza kuwekwa benchi na kuwapanga kina Tegete,Bahanuzi au Javu.Wakati Ngasa anasajiliwa watu walisema Simon Msuva hana namba tena lakini ujio wa Ngasa umempa changamoto Msuva anazidi kuwa mchezaji mzuri
 
Dogo kaenda kuua mpira wapi bahanuz,javu?,tatizo bongo wanasajiri viongozi badara ya kocha,ukifuatilia sidhani kama kocha alimuhitaji huyu.

Mbona Ngasa,Msuva,Domayo,Luhende,Yondani viwango vyao ndio vinazidi kuongezeka?
 
Timu inatakiwa iwe na wachezaji wengi (squad depth) ili ikitokea majeruhi timu isitetereke Bayern Munich wana viungo Kroos,Alcantara,Ribery,Roben,Martinez,Bastian,Gotze,Shaqiri mfano Gotze,Martinez na Thiago waliumumia lakini timu haijaathirika na kutokuwepo kwao.Mfano Simba walivyoumia Tambwe na Kaze Kibadeni akaanza kutoa visingizio
Tatizo kubwa la wachezaji wa Kitanzania wengi hawajitumi ndio maana ni vigumu sana Twite,Niyonzima,Kavumbangu au Kiiza kuwekwa benchi na kuwapanga kina Tegete,Bahanuzi au Javu.Wakati Ngasa anasajiliwa watu walisema Simon Msuva hana namba tena lakini ujio wa Ngasa umempa changamoto Msuva anazidi kuwa mchezaji mzuri
Mwambie huyo,ama aseme ni wivu tu!
 
Dogo fundi sana yule na mwongo mwongo kama Niyonzima...nadhani kaletwa kuwa mbadala wa Haruna pale anapokosekana au pia huenda kaletwa kama false inside ten
 
Back
Top Bottom