Yanga yamnasa dilunga

Yanga yamnasa dilunga

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,941
Young Africans Sports Club almaraafu kama Yanga imefanikiwa kumsaninisha mkataba wa miaka mitatu kiungo Hassan Saleh Dilunga kutoka timu ya Ruvu Shooting ambapo mchezaji huyo ataanza kuitumikia timu yake mpya katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu.

Kwa habari kamili bofya hapa YANGA YAMNASA DILUNGA
 
Daah uyo dogo ni fundi sana wasiwasi wangu je atapata muda wa kucheza pale Yanga? Au pesa ndo imengaliwa zaidi maana yanga pale kati wako vizuri
 
Keshajikatia tamaa ya ulaya ndo maana kaenda huko. Angekuja msimbazi miaka 2 tu ijayo angekuwa Anderlecht au glascow anakipiga.
 
Keshajikatia tamaa ya ulaya ndo maana kaenda huko. Angekuja msimbazi miaka 2 tu ijayo angekuwa Anderlecht au glascow anakipiga.

Au angekuwa Etoile Du Sahel bila malipo. Huko nako mshahara angeusikia redioni. Yule al shabab angechukua chake mapema
 
Dogo anajua labda wamemchukua in future coz naona hawana mapungufu sana kwenye kiungo!
 
Dogo anajua labda wamemchukua in future coz naona hawana mapungufu sana kwenye kiungo!
...Yanga hawasajili kwa nia ya kuziba mapengo waliyonayo bali wanafanya hivyo kwa nia ya kuvunjavunja Timu zinazoonekana zina wachezaji makini na mwisho wa siku ibaki Yanga kama Yanga bila kuwa na mpinzani: kuna habari za chinichini kwamba wana mpango pia kuibomoa Mbeya City.
 
Hivi yanga hawana kikosi cha u20??
 
Keshajikatia tamaa ya ulaya ndo maana kaenda huko. Angekuja msimbazi miaka 2 tu ijayo angekuwa Anderlecht au glascow anakipiga.[/QUOT

Yule wa Tunisia karudi kwao Uganda na nyie hela hamjalipwa, yule wa Ufaransa anacheza division 5...kwi kwi kwi kweli NGASA aliona mbali.
 
Yule wa Tunisia karudi kwao Uganda na nyie hela hamjalipwa, yule wa Ufaransa anacheza division 5...kwi kwi kwi kweli NGASA aliona mbali.
 
Keshajikatia tamaa ya ulaya ndo maana kaenda huko. Angekuja msimbazi miaka 2 tu ijayo angekuwa Anderlecht au glascow anakipiga.

we nawe ulimuona nani katoka simba kacheza daraja la kwanza hata ufaransa.....leo hii uende simba ili ukiuzwa uende Anderlecht au glascow...!?hata bongo kunalipa walioenda tunisia mbona tunasiki wanaludi bongo..!?
 
Hii ndio timu inayotaka kuimarika, sio ubabaishaji wa kukuza vipaji wakati ubingwa unautaka. Hata kama ameingia chaka kwamba hata cheza au, lakini tayari ameshavuta ela yake ya usajiri na mshahara mnono unakuja.
 
Huko ndio kujenga timu endelevu. Mlitaka wasubiri hadi Chuji amalizike na Niyonzima aondoke ndio mapengo yao yajazwe? Katikati ukiwa na Msuva, Domayo na huyu dogo, si ndio Yanga daima mbele yenyewe?
 
Ni nani hao wamepitia msonfamanoni wameenda ulaya ukinipa mmoja ntaomba adhabu yoka kwa mod
Keshajikatia tamaa ya ulaya ndo maana kaenda huko. Angekuja msimbazi miaka 2 tu ijayo angekuwa Anderlecht au glascow anakipiga.
 
Dogo anajua labda wamemchukua in future coz naona hawana mapungufu sana kwenye kiungo!

Dogo kaenda kuua mpira wapi bahanuz,javu?,tatizo bongo wanasajiri viongozi badara ya kocha,ukifuatilia sidhani kama kocha alimuhitaji huyu.
 
Mbali na mie kuwa mshabiki wa simba..bado kuna kitu nakipinga na hasa kinachofanywa na mtani wangu wa jadi yanga...yanga wanasajili wachezaji kama kuzuia wasiende timu pinzani..sio mbaya pia ila kwa nchi yetu yenye mashindano mawili tuu..ligi kuu na michuano ya klabu ya cecafa..hao wachezaji wanne kila namba moja utawatumia wapi?...kumsajili mchezaji na kumuweka benchi hata kama unamlipa mabilioni kwa wiki ni kuuwa kipaji chake..mtani jirekebishe..una makipa 4 una viungo kama 6 bado unasajili vijana unawamaliza kisoka...ni maoni tuuu tena ya ki-uana michezo uliotukuka..
 
Back
Top Bottom