Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Hatimaye imethibitika kuwa ukata umepiga hodi Kwa Wakimataifa Yanga.Dalili za ukata zilianza kujitokeza Mara tu Rais wa Yanga Diwani Yusuf Manji alipotuhumia kujihusisha Na Madawa ya kulevya.Juu tumejionea Yanga wakiwa Algeria ambako walipigwa bso 4G Na kutupwa nje ya mashindano Na kukwama kurudi nyumbani baada ya kula nauli ya kuwarudisha nyumbani kutokana Na ukwasi mkubwa.Katibu Mkuubwa Yanga ameamua kutembeza Bakuli kuomba Misaada.