Yanga watatufunga tena Ngao ya Hisani Tarehe 16 Septemba, 2025

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
473
Reaction score
1,682
Tunashukuru jezi ni nzuri lakini nna uhakika tarehe 16 Septemba 2025 Yanga watatufunga tena, jana aliyoyaoengea Ali Kamwe mnaweza kuchukulia kirahisi rahisi na kumdharau vile, yule alikuwa anatoa code, aliposema safari hii wanatumia Nyundo alikuwa na tafsiri nyingi.

Yanga hawangaiki tena kucheza na Simba sasa hivi, never.Yaani ni hivi, ni kweli sisi tumesajili vizuri sana msimu huu, tunao wachezaji wazuri sana ambao wana uwezo wa kutupa hata ubingwa wa Afrika, lakini uwezo wa kuifunga Yanga haupo na hautakuwepo.Ubingwa wa hapa ndani hautakuwepo tena msimu huu.

Ninazo sababu nyingi sana, nyingine nimewahi kuzieleza lakini hadi leo hazijafanyiwa kazi na bado zipo.

Dalili ya mvua mawingu.Umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu.
 
Unadhani Yanga wanaongelea mpira wanaposema sasa hivi wanapiga kichwani? Bado hamjasanuka jinsi mipira hii inavyotumika kisiasa.

Hapo Ali Kamwe alikuwa anaongea kama msemaji wa chama kuwa sasa hivi hawatawapiga tena wapinzani rss za miguuni na mapajani ila za kichwani ili wasisavaivu.
 
Tunashukuru jezi ni nzuri lakini nna uhakika tarehe 16 Septemba 2025 Yanga watatufunga tena, jana aliyoyaoengea Ali Kamwe mnaweza kuchukulia kirahisi rahisi na kumdharau vile, yule alikuwa anatoa code, aliposema safari hii wanatumia Nyundo alikuwa na tafsiri nyingi.

Yanga hawangaiki tena kucheza na Simba sasa hivi, never.Yaani ni hivi, ni kweli sisi tumesajili vizuri sana msimu huu, tunao wachezaji wazuri sana ambao wana uwezo wa kutupa hata ubingwa wa Afrika, lakini uwezo wa kuifunga Yanga haupo na hautakuwepo.Ubingwa wa hapa ndani hautakuwepo tena msimu huu.

Ninazo sababu nyingi sana, nyingine nimewahi kuzieleza lakini hadi leo hazijafanyiwa kazi na bado zipo.

Dalili ya mvua mawingu.Umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu.
Mambo ni mawili tu Yanga atamfunga Simba au Simba atafungwa na Yanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama vipi tususie tena kucheza nao ili kuepukana na hicho kipondo cha kupigwa kichwani.
 
Ila yanga akili zao kwa hyo nyie wale wachezaji wote wa kimataifa mnasijili ili mumfunge simba tu akili za yanga ndio maana viongozi wao wakienda kugombea ubunge wanakatwa
 
Back
Top Bottom