GAMONDI was electric huyu sio Kocha mzeeKwa Yanga hii hata akipewa Popoma kuiongoza, bado itafanya tu vizuri. Kwa hiyo mtoa mada jitahidi kuwa mpole.
NB: Mnaomtukana mtoa mada, jitahidini kumjibu kwa kujenga hoja. Utamaduni wa kutukana hovyo na wenyewe siyo mzuri.
Huyu Anatolewa mapema sanaChristmas akifika mtaniita mbwa
Kwanini huyo Gamondi unayesema alikuwa electric ukamfungulia uzi mechi za kwanza tu kwa kusema habebi kombe na hafuzu makundi?GAMONDI was electric huyu sio Kocha mzee
Yanga CCM FC?I will be short
Folz sio Kocha wa quality team Kama yanga . Kama vipi apewe mizogo yake mapema Asepe huyu sio Kocha wa quality team Kama Yanga .
After few minutes huyu sio Kocha
Folz out
You will be short au wewe ni short siku nyingi?I will be short
Folz sio Kocha wa quality team Kama yanga . Kama vipi apewe mizogo yake mapema Asepe huyu sio Kocha wa quality team Kama Yanga .
After few minutes huyu sio Kocha
Folz out
😃😀 Naunga mkono hojaMhhh ila watanzania ndo maana hata ndoa hazidumu....
Nashukuru mtani...😃😃😃😀 Naunga mkono hoja
Alikufira nini kisha akakutelekeza we mwanamke vipi?Amini kwamba amna Kocha hapa
folz anatakiwa kukaza tzIsivyobahati Eminem kaja Tanzania kila mtu ni kocha na mchambuzi, binafsi jana nimeona kocha hamnamo mtu.. Though nahitaji kucheck atleast 5 competitive games za yanga then nitatoa maoni yangu
muda gani?? dunia ya leo haina mda, hit running, huyu kocha Christmas hafikiHuyu kocha mnamuandama bure tu apewe muda. Kwa Mimi jana Yanga nimeiona ikicheza na kitu wazungu wanaita identity mwanzo mwisho. Kama ilivyokuwa kwa Ramovic. Yanga tangu mwanzo walikuwa wanachezea katikati na kupitisha mipira juu au chini kwa kasi kutengeneza hatari. Angalia magoli yote mawili. Timu imecheza kwa identity kabisa inayojionesha halafu useme kocha mbovu. Huyu kocha ana kitu tumpe nafasi.
Amna= hamna? Kiswahili chenyewe tuKama huyu ndo kocha wenu amna mtu humu
Utaingia kwenye FIYUUU MOMENTI LETAAA...!! Shauri yakoI will be short
Folz sio Kocha wa quality team Kama yanga . Kama vipi apewe mizogo yake mapema Asepe huyu sio Kocha wa quality team Kama Yanga .
After few minutes huyu sio Kocha
Folz out
Mmezoea kusema hivyo hivyo.muda gani?? dunia ya leo haina mda, hit running, huyu kocha Christmas hafiki