Yanga inamhitaji kocha wa aina gani?

Yanga inamhitaji kocha wa aina gani?

baliyanga

Member
Joined
Oct 9, 2026
Posts
11
Reaction score
11
Nimekuwa nikifatilia trend ya timu ya yanga tangia msimu uliopita na kubaini mambo yafuatayo.
  1. Yanga ilimsajili kocha folz ambaye yeye sifa zake hata akiwa huko ni kucheza kimkakati (pira robertinho) wakati wanajua mashabiki wanataka tiktak
  2. Akaja kocha ambaye yeye carier yake ya ukocha kwa asilimia 90 alikuwa akifundisha tim za taifa ambapo ujenzi wake na clabu ni tofauti hivo akaja kufundisha akiwa anarejesha uwezo wa kufundisha tim hasa kubwa
  3. Aakaja kocha moalin na mabedi ambaye coaching experience yake ni ndogo kama ilivyo ya folz .
  4. Akaja kocha manqoba ambaye yeye hata akiw@ kule sundown mashabiki walikuwa hawaridhishwi na style ya uchezaji wa timu hata alipoenda timu nyingine style yake ilikuwa ni counter attack .sas@ mashabiki wanawalamu wachezaji na bench wakat ndio style ya Uchezaji a kocha
 
Ukishaelewa kwanini ni ngumu kudhibiti hasira kuliko kuvunja nazi kwa mikono ndio utaelewa kwanini watu wengi hufanya maamuzi ya hovyo kwenye jambo ambalo hekima ilitakiwa itumike na hiyo hekima wanayo ila unajiuliza ilienda wapi,?
 
Kocha bila wachezaji waandamizi ni kazi bure hata angekuja Pep Gardiola,au Morinho.

Hili jambo ndo limeitesa klabu ya Simba misimu michache iliyopita, Yanga ya sasa haina key players,yaani wachezaji wa kuamua mechi ,hata Ile Derby ya juzi kiwango alichoonesha Simba si mbinu za kocha Bali wachezaji wenye uzoefu na vipaji alisilia
 
Yanga inahitaji kocha wa mbinu. Siyo kocha wa kutegemea wachezaji wale wale tu. Akitoka mcheaji mmoja na mfumo wa timu nao unaharibika.
 
Back
Top Bottom