Yanga watafute kocha mwingine Folz sio kocha

I will be short

Folz sio Kocha wa quality team Kama yanga . Kama vipi apewe mizogo yake mapema Asepe huyu sio Kocha wa quality team Kama Yanga .

After few minutes huyu sio Kocha

Folz out
Tueleze mapungufu yake kiufundi na kimbinu kwenye mechi alizosimamia tokea amekuja nipo nayasubilia ili tujue kwamba hafai
 
I will be short

Folz sio Kocha wa quality team Kama yanga . Kama vipi apewe mizogo yake mapema Asepe huyu sio Kocha wa quality team Kama Yanga .

After few minutes huyu sio Kocha

Folz out
Kazini kwangu kuna jamaa lina MAJUNGU hatari. Yeye ni kupiga tu MAJUNGU kwa kila Boss mpya au staff anayehamia kuwa huyu hatafika mbali.

Au ni wewe upo na huku JF
 
tuanze na mizogo kwanza kabla ya kumjadili Folz
 
Kazini kwangu kuna jamaa lina MAJUNGU hatari. Yeye ni kupiga tu MAJUNGU kwa kila Boss mpya au staff anayehamia kuwa huyu hatafika mbali.

Au ni wewe upo na huku JF
Am not as Swahili oriented as you think
 
Back
Top Bottom