Kwa nini mwaka huu hakuna timu za kutisha? Timu hizo zinazotisha zimekwenda wapi mwaka huu? Ndio tuseme somba amefika hapo kwa vile anatisha ila Yanga wamekutana na vibonde? Labda mtuambie pia mwaka gani CAFCC kulikuwa na timu za kutisha.
Waswahili kwa kupindisha maneno hamjambo, mnaona tasbi sana kusema mwaka huu Yanga wana nafasi nzuri kutwaa kombe kwa sababu wana kikosi bora. Punguzeni dharau, kumbukeni hata kwenye ligi ya ndani Yanga wanaweka rekodi nyingi tu, wako vizuri.
Wakifika Fainali watakua wameifikia hatua ambayo Simba alifika miaka 30 Iliopita( 1993...Finali ya Shirikisho dhidi ya Stella Abidjan).Kila mafanikio kwa ngazi ya klabu Africa hapa Tanzania,Simba ndio ilifungua na kutengeneza njia. Caf wanavyoiita Giant wanamaanisha😎
Simba haijawahi fika shirikisho final,1993 final alicheza Al ahly na Africa sports,Simba na Stella ilikua kombe la bonanza Kama la hedex lililoanzishwa na mashud abiola