Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,188
- 8,215
Anaandika @exaud_msaka_habari
Kuna watu wanauliza kwanini Mechi ya Yanga na Azam hakukuwa na Migomo? Huo ni muendelezo wa kuhalalisha kosa kwa kosa lingine
Juzi tu hapo Biashara wamesafiri usiku mpaka Tanga wanafika tu game imefutwa haipo wakarudi
Walichokifanya Yanga ni kukumbusha kuwa kuna kanuni zinavunjwa, na huenda wamesaidia haya mambo yasijitokeze tena
Mabadiliko ya Muda mechi nyingi sana yapo sema yanatokea kwa timu ambazo haziwezi kusema zikasikika ila leo imetokea kwa Mkubwa
Siwatetei Yanga sababu na wao wameshindwa kuangalia uhalisia wa mashabiki wao walioingia gharama kufika, wangeweza kutumia busara shida ni kwamba Watawala wa soka wao wanatumiaga Busara kudeal na Yanga
Kama tumekubaliana kila kitu ni sheria na kanuni basi neno busara lisitumike kabisa
Bila kuficha Yanga wana hasira na TFF na wameamua kuzionesha wazi na wamezionesha kwa kisimamia kanuni za soka
Hii itupe funzo kuwa kama tunajenga nyumba moja tusikubali mmoja ajihisi anaonewa kuna siku na yeye atahitajika msaada wake atagoma