Yanga walicheka Mamba kabla hawavuka mto!

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,477
4,270
Wakati Simba wako Sudan kucheza na Al Ahly Shandy. Katika kuwatoa mchezoni Simba Shandy walitumia fitna nyingi sana ikiwemo kuwalaza Simba katika hostel. Hali iliyopelekea Rage kulala reception. Yanga waliwacheka sana Simba n wakaenda mbali kidogo na kusema Simba hawakuwa na mipango ya kuzuia fitna kama hizo. Mungu si athumani juzi yanga walikuwa mbeya cha kushangaza yanga walifikia katika ki-guest house kidogo hali iliyopelekea wachezaji kulala wawili wawili katika kitanda cha futi 3 na godoro la inchi 2 kama wanafunzi wa boarding. Vilevile kocha wao 'Mtakatifu Tom' hakuoga kwa siku 2. Swali la kujiuliza.. Pesa za kanjibai zimeisha?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom